Fredrick Sumaye kurejea CCM | Page 2 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Fredrick Sumaye kurejea CCM

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Robethn, Sep 20, 2015.

 1. R

  Robethn JF-Expert Member

  #1
  Sep 20, 2015
  Joined: Aug 18, 2015
  Messages: 2,104
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kumekuwa na kila dalili ya waziri mkuu mstafu ndg Sumaye kurejea CCM, mara baada ya uchaguzi mkuu mwezi ujao, ikiwa ni kutokana na uhakika ambao amekuwa akiusema kwenye mikutano yake kwamba uwepo wake Ukawa ni kwa ajili ya kuimarisha upinzani na sio kushika dola.

  Watu wake wa karibu wamesema kiongozi huyo bado amekuwa na wakati mgumu katika kuchagua chama atakachojiunga japo awali viongozi wa ukawa walimwambia ajiunge na NCCR Mageuzi, hiyo imekuwa ni kutokana na halihalisi anayoiona katika umoja huo ambao unakabiliwa na migogoro kilapande,pamoja na viongozi wake wengi kuwa na ubinafsi badala ya kuangalia maslahi mapana ya taifa.

  Mzee Sumaye mara baada ya uchaguzi anaweza kurudi CCM kwa sababu mpaka sasa amekili hatajiunga na chama chochote kipya cha siasa.Hii inathibitisha kuwa pamoja na kuwa msimamizi mkuu wa kampeni za mgombea urais kupitia Ukawa hana uhakika wa kushinda.
   
 2. J

  Jozi 1 JF-Expert Member

  #21
  Sep 21, 2015
  Joined: Aug 16, 2015
  Messages: 5,054
  Likes Received: 2,293
  Trophy Points: 280
  Sumaye kafanya kama 4UM .
  Wamegoma kuchukua kadi za Chadema
   
 3. navy boi

  navy boi JF-Expert Member

  #22
  Sep 21, 2015
  Joined: Mar 15, 2014
  Messages: 1,452
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Sumaye a.k.a mr zero
   
 4. R

  Robethn JF-Expert Member

  #23
  Sep 21, 2015
  Joined: Aug 18, 2015
  Messages: 2,104
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hao bavicha kumbe wanasifika kwa matusi tu
   
 5. R

  Robethn JF-Expert Member

  #24
  Sep 21, 2015
  Joined: Aug 18, 2015
  Messages: 2,104
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hali ni ya kukatisha tamaa ukiwa
   
 6. jingalao

  jingalao JF-Expert Member

  #25
  Jan 9, 2018
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 23,177
  Likes Received: 14,385
  Trophy Points: 280
  kwa kasi hii ya Magufuli ni muhimu kurejea CCM
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...