Frederick Tluway Sumaye kuchukua fomu ya Urais kupitia CCM 2020?

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,109
18,326
Sumaye wakati anaondoka chadema alitamka mambo mazito eti, CHADEMA haina demokrasia.

Sasa yuko CCM, na fomu waliyo print ni moja tuu.. hakuna nyingine.

Sumaye nadhani muda huu yupo Dodoma , anatafuta kopi ya fomu aliyo pewa rais Magufuli.

Karibu sana CCM...

IMG-20200618-WA0013.jpeg

Zaidi, soma: Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye arejea CCM, alijiengua CHADEMA baada ya kuambiwa na Mbowe 'Sumu haionjwi kwa kuilamba'
 
Sumaye wakati anaondoka chadema alitamka mambo mazito eti , chadema haina demokrasia.

Sasa yuko ccm , na fomu waliyo print ni moja tuu.. hakuna nyingine.

Sumaye nadhani muda huu yupo dodoma , anatafuta kopi ya fomu aliyo pewa meko.

Karibu sana ccm ..View attachment 1482448
Ukiwa ccm huwezi kuhoji mawazo yako yanafungwa Uhuru wako unafungwa na ukihooji unaambiwa wewe ni mpinzani hivyo sumaye anamwogopa Bwana Yesu
 
Mzee Wangu Sumaye Mbona Hachukui Fomu Ya Uraisi? Si Alituambia Anarudi CCM Kwenye Demokrasia? Mbona Sasa Hatumii Haki Yake Ya Kidemokrasia Kuomba Ateuliwe Kuipeperusha Bendera Ya CCM Kwenye Urais? Au Ndoto Zake Zilikua Uenyekiti Wa CHADEMA Tu?

Huo Urais si alitangaza anautaka Akiwa CHADEMA Sasa aliporudi Kwenye Demokrasia Halisi Hizo Ndoto iweje zife?

Mr mkiki.
 
Hiiii, mdanganye ma vijana yametoa onyo kali mno kwa wazee wenye tamaa, yatakachomfanya atajua mwenyewe!
 
Mzee Wangu Sumaye Mbona Hachukui Fomu Ya Uraisi? Si Alituambia Anarudi CCM Kwenye Demokrasia? Mbona Sasa Hatumii Haki Yake Ya Kidemokrasia Kuomba Ateuliwe Kuipeperusha Bendera Ya CCM Kwenye Urais? Au Ndoto Zake Zilikua Uenyekiti Wa CHADEMA Tu?

Huo Urais si alitangaza anautaka Akiwa CHADEMA Sasa aliporudi Kwenye Demokrasia Halisi Hizo Ndoto iweje zife?

Mr mkiki.

Kwani hujui kwamba huyu jamaa ni ZERO.
 
Mzee Wangu Sumaye Mbona Hachukui Fomu Ya Uraisi? Si Alituambia Anarudi CCM Kwenye Demokrasia? Mbona Sasa Hatumii Haki Yake Ya Kidemokrasia Kuomba Ateuliwe Kuipeperusha Bendera Ya CCM Kwenye Urais? Au Ndoto Zake Zilikua Uenyekiti Wa CHADEMA Tu?

Huo Urais si alitangaza anautaka Akiwa CHADEMA Sasa aliporudi Kwenye Demokrasia Halisi Hizo Ndoto iweje zife?

Mr mkiki.
Ccm wapo kwenye udikteta mbaya sana siku hizi afadhali siku zilizopita.
 
Back
Top Bottom