bulumya londo
Senior Member
- Jun 23, 2013
- 184
- 14
Takwimu yako hiyo ss tuliokuwa site takwimu yetu rais ni JPM. TUMIA KICHWA WEWE mnaibiwaje majimbo 188 pambafuWezi wakubwa nyie, mwizi wa kuku anatiwa kiberiti, hivyo ninyi mnastahili maradufu! Ukweli mchungu huu hapa: LOWASSA-62%, Mtu wenu-37%. Wizi ni fedheha, siyo jambo la kujionea fahari! Ndiyo maana mmekosa hata ujasiri wa kupita mitaani kushangilia!
Bariadi tumepita mitaani na kusherehekea sijui kwenuTakwimu yako hiyo ss tuliokuwa site takwimu yetu rais ni JPM. TUMIA KICHWA WEWE mnaibiwaje majimbo 188 pambafu
Wezi wakubwa nyie, mwizi wa kuku anatiwa kiberiti, hivyo ninyi mnastahili maradufu! Ukweli mchungu huu hapa: LOWASSA-62%, Mtu wenu-37%. Wizi ni fedheha, siyo jambo la kujionea fahari! Ndiyo maana mmekosa hata ujasiri wa kupita mitaani kushangilia!
Walitegemea nn kwa mr 0 lazima washindwe tu. Mamlaka hupangwa na Mungu na mteule wa awamu ya 5 ni JPMNi mpumbavu pekee na lofa tu atakayeamini lowasa alishinda kwanza kwa majimbo yepi ambayo mmechukua ubunge? Mmekalia kutoa mihemko ya mitusi tu na wala haitawasaidia lowasa Ana nyota ya kukatwa tu.
Walitegemea nn kwa mr 0 lazima washindwe tu. Mamlaka hupangwa na Mungu na mteule wa awamu ya 5 ni JPM
Ni mpumbavu pekee na lofa tu atakayeamini lowasa alishinda kwanza kwa majimbo yepi ambayo mmechukua ubunge? Mmekalia kutoa mihemko ya mitusi tu na wala haitawasaidia lowasa Ana nyota ya kukatwa tu.
wewe dada,unajua ni majimbo mangapi CCM wameyachukua kwa nguvu plus rushwa?,mfano mzuri huku mbagala!halafu mapovu yanawatoka kutetea ushindi batili,na huyo mtu wenu sijui hata kama atamaliza hata mwaka.
Ila tuache mzaha mbowe kaumbuka sana na hana jinsi inabidi ang'atuke
Fredrick Sumaye nahitaji nikukumbushe ile hoja yako wakati unakihama chama chako.ccm ulisema umekucha kusaidia upinzani ili uwe na nguvu.
Sasa napenda nikuulize swali hivi kwa sasa unamushauri nini mbowe?aedelee kubaki kuwa rubani wakuedelea kubadirsha via angani au apumuzike kabisa? ili kukinusuru chama.
Ivi kweli nyie vibaraka wa ccm Hii ndio sera yenu ya hapa kazi tu? Mnajadili ya SUMAY ? KWELI vichwa maji sana. Ivi bado mnalipwa naona mnajitaidi kweli.
Wewe kalia kumtukana SUMAY wakati mwenzio anapeta