Frederick Mpendazoe atimkia CCJ...

Nimjuavyo Mpendazoe,

Alikuwa DG wa baraza la mazingira, akahamia wizara ya maji kabla ya kwenda jimboni. Kwa watu waliofanya nae kazi wanamjua. Ana msimamo ya yale anayoyaamini, ni mchapakazi. Wavivu wote wa kufikiri na kutenda kwa mazoea wanamjua vizuri huyu.

With all due respect mkuu, tulisikia sifa hizi hizi akipewa JK, Pinda na hata Lowassa. Iwapo watu wa aina hii wapo Serikalini kwa nini tunashida sana kwenye kufuta urasimu?
 
Ni uamuzi mzuri sana huu. Nampongeza. Nawaomba msijaribu kumfananisha kila anayetoka chichiemu na kachero mrema. Tafadhali jueni mrema alikuwa kazini na very soon atarudi kwao!
 
Bado hawajapata usajili wa kudumu.

Hii CCJ na CHADEMA watagawana kura na kuiacha CCM inapeta kilaini sana. Labda wakubali kuachiana majimbo hapo kutakuwa na la maana.
what makes you think so? it will affect all parties and ofcourse will depend on which policy will they market for us the voters, may not be such threat!
 
kumekucha Tanzania, kumepambazuka Tanganyika, mwendo umeanza, safari moja huanzisha nyingine.....Hureee
 
Sasa hivi akina Makamba, na mijizi mingine ndani ya CCM wameanza kunoa matusi yao yakumpachika Fred. Tutasikia atatuhumiwa kwa mengi sana -- ufisadi mbali mbali kama vile ktk EPA, Radar, Kagoda etc.

CCm hawawezi kamwe kupingana naye kwa hoja, ila tu kwa tuhuma za uongo na matusi, ndiyo wanachojua katika kukabili wapinzani. subirini tu mtaona.
 
JAMVI TAMU HILI...Currently Active Users Viewing This Thread: 80 (30 members and 50 guests)

Tusker Bariiiidi, Boramaisha, Kekuye, Nandoa, Che Kalizozele, mlachake, Balantanda, Sinkala, JoJiPoJi, Mchukia Fisadi, Babuyao, Ben, Zak Malang, alles, Jibaba Bonge, lyangalo, mtuporimtupori, WildCard, Nkamangi, Mlalahoi, Mwanjelwa, Shadow, bullet, Mponjoli, Kamende, Bazobonankira, N-handsome, mnyakyusa, Jobjob2
 
sasa Mwakyembe, Sitta, wakati ni huu waacheni chama chao, mmepingana nao kwa hoja, lakini daima hawawaelewi, wamebomoam misingi ya ujamaa kwaajili ya kuwanufaisha kina RA,mANJI, NA mafisadi wa kariba hiyo.
Wamewatusi vyakutosha kwa kuumia baada ya kina Lowassa kunyang'anywa ulaji katika Richmond na Dowans.
 
Tunawasubiri na wengine kutoka CCM wafuate nyayo zake. Na wale wote waliopo CHADEMA, CUF, TLP, Jahazi Asilia na vyama vingine wasioridhishwa na utendaji wa vyama vyao kuhamia CCJ. Kikao cha tar 8 Aprili kitaweza kutupatia mwelekeo.
 
Nimeanza kuwa na wasiwasi kuhusu CCJ, is it becoming kapu la makapi? Is this Fred Mpendazoe aliyetetea mafisadi kwa nguvu zote, au nimesahau? CCJ ni chama ambacho mtu yoyote anaweza kujiunga bila hata kujua msimamo wa mtu huyo ukoje?
 
Sasa hivi akina Makamba, na mijizi mingine ndani ya CCM wameanza kunoa matusi yao yakumpachika Fred. Tutasikia atatuhumiwa kwa mengi sana -- ufisadi mbali mbali kama vile ktk EPA, Radar, Kagoda etc.

CCm hawawezi kamwe kupingana naye kwa hoja, ila tu kwa tuhuma za uongo na matusi, ndiyo wanachojua katika kukabili wapinzani. subirini tu mtaona.

Leo nitalala kama a baby. Kafungua mlango mkubwa huyu, maana hajali kupoteza masilahi yake kwani si mlafi. najua wanatafuta vitu vya kumuonyesha kuwa mnafiki. lakini asijali sana hayo. wapenda nchi yao wako nyuma yake.

Hurrrrrrrrrah!!!!!! Nasikia raha kweli kweli jamani. Tuikwamue nchi yetru kutoka kwa utawala wa mafisadi. Oh yes, we can.
 
Kuna Member wawili hapa wanaitetea sana sisiemu!! grrrrrrrrrr!!! With all what is going on Hamtaki mabadiliko? Hivi sisiemu inalipi jipya? Eee Mungu Tufungue macho watanzania!! Naombeni niulize swali la kijinga sana!! Mshahara wa ngazi ya TGSD ambao analipwa m2 mwenye shahada ni shingapi?
Yaani nakosa hata maneno ya kuongea. Unapomlipa mtu 250,000 maisha ya Dar es salaam akalishe familia na mahitaji mengine inaingia akilini kweli. Kifupi hapa ndio ufisadi ulianza lakini sio kwa wale mafisadi papa!! naongelea mafisadi samaki.
 
With all due respect mkuu, tulisikia sifa hizi hizi akipewa JK, Pinda na hata Lowassa. Iwapo watu wa aina hii wapo Serikalini kwa nini tunashida sana kwenye kufuta urasimu?

Aliamini kama wewe ila ameona hakuna la maana kwani nivigumu kuweka yale mnayosema kwa vitendo.

BRAVO MPENDAZOE
 
Nimeanza kuwa na wasiwasi kuhusu CCJ, is it becoming kapu la makapi? Is this Fred Mpendazoe aliyetetea mafisadi kwa nguvu zote, au nimesahau? CCJ ni chama ambacho mtu yoyote anaweza kujiunga bila hata kujua msimamo wa mtu huyo ukoje?
Nadhani nia yako ni kupotosha watu. Ushindwe kwa jina la CCJ! I think you are talking about another Fred Mpendazoe. Tujuvye lini na wapi huyo Mpendazoe umjuaye alitetea mafisadi?
 
Bila shaka UMESAHAU..
 
CCM hata akitoka nani leo hii - ataambiwa makapi matupu. sasa sisi wenye akili tunajua kupembua na kutenganisha mchele ni upi na na pumba ni zipi
 
napenda mwaka wa uchaguzi Tanzania, tutaona kila aina ya sarakasi
 
Nadhani nia yako ni kupotosha watu. Ushindwe kwa jina la CCJ! I think you are talking about another Fred Mpendazoe. Tujuvye lini na wapi huyo Mpendazoe umjuaye alitetea mafisadi?

Nadhani alimfananisha na Serukamba..
 
Back
Top Bottom