Freddy Lowassa na utajiri wa ajabu

mtoto wa fisadi papa nae arithi ufisadi wa baba yake, natamani mali zao zitaifishwe
Mmeishi nao ndani ya thithiem miaka nenda rudi bila kuhoji utajiri wao. Mwezi mmoja tu kahamia upinzani mnatokwa na povu. Hii inaonyesha wote ambao ni matajiri na bado wako cvm, utajiri wao ni wa shaka na tutajua tu wakihama chama.
 
angalau fredy hana kashfa ya kukamatwa na sembe uchina.
 
upande mwingine ni Magufuli,,mtoto wake aliumwa akafia muhimbili sio nchi za nje: sina data zake zaidi,,,kama unazo mwaga hapa.

Kikwete ameshamaliza muda wake,,sina time naye tena: najadili wanaotaka kutuongoza
Kwa hiyo kufia muhimbili ni sifa? Acha ubwege mi nilidhani aliumwa akapewa huduma nzuri sasa amepona...
 
Mwenye picha ya huyo Fred Lowassa tafadhali!
 
Hicho kidogo unachopata wekeza nawe utatajirika.shida yako umewekeza chini ya kitovu halafu unabaki kuonea wivu wenzako.
 
Kwahiyo degree sikuizi inaitwa kadegree? Alafu sula na Mali Fanya kazi na wewe utatoka siku mmoja
 

Ndugu yangu Pasco, mkongwe mwenzangu

Kumbe umeshafanya maamuzi magumu! Hongera sana,
I am still unconvinced with neither of the two giant candidates.

I feel extremely sad for my country when I observe how campaigns are run: However, I will support whomever the common mwananchi thinks is the right guy for the job.

I think by 2020 we will be politically more matured,

Hongera ndugu yangu kwa kufanya maamuzi ya kumuunga mkono Lowassa: Mwenzio bado natafakari

Simple wa JF
 

Punguza hasira mkuu.

Hasira hasara.
 

Fanya kazi kwa bidii ndugu majungu na wivu utakufanya udumae kiakili. Wenzako wanafanya kazi wewe unapiga majungu utaendelea kweli!?
 
Jamaaaani elimu ya hisa ni tatizo sana. Hata mimi maskini nina hisa TCC
 
Pasco, tuko pamoja siku hizi.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…