Freddy Lowassa na utajiri wa ajabu

Mkuu anza maisha, umri unaendaaa!!


Umri kama umekwenda,,Mbona babu ZEZETA anataka kutuongoza watanzania..mwambie aende Monduli kupumzika.Tukishika nchi tutaMFILISI huyu FISADI PAPA ZEZETA
 
Tena ingekuwa vizuri angekuwa na utajiri mara 1000000 zaidi ya huo...

Tulishapiga kura siku nyingi sana na hata upost nini kuhusu lowasa

#Lowasa atosha
 
mkonoz hata phd huwezi pata kwa reasoning zako nilivozipitia hapa, una akili kama za wafanya kazi wa ndani(mabeki3)

Najua unaumia moyo, umekaa kwenye bundle yako unawa inakuwaje wengine wanatusua??? ,njoo August 2016 hapa............(scandnavia) napresent paper yangu. Beki 3 naye mtu,,so najivunia ukinifananisha na beki 3. beki 3 anakaa na familia yako kuliko wewe na mkeo,,,in a way unamuamini sana ndo maana unampa majukumu mazito
 

Unachukia ufisadi ila unapenda uzinzi
 

unatuchafulia siku mkuu tuko kwenye majonzi ya kamanda m.mtoi.
Sasa kama ulifanya kazi na huku lipwa kutokana na uzembe leo umeona ndiyo uje ubwabwaje upuuzi huu ,nakushauri acha maana tuna msiba wa mtoi.....
.
.
.
.r.i.p mtoi.
 
unatuchafulia siku mkuu tuko kwenye majonzi ya kamanda m.mtoi.
Sasa kama ulifanya kazi na huku lipwa kutokana na uzembe leo umeona ndiyo uje ubwabwaje upuuzi huu ,nakushauri acha maana tuna msiba wa mtoi.....





r.i.p mtoi


.
.
.
.r.i.p mtoi.
tutalichoma moto hilo FISADI PAPA(LOWASSA ZEZETA)
 

ha ha ha ha ha! na wewe na familia yenu mnamiliki nini? mfanyabiashara kumiliki kampuni/makampuni kuna ubaya gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…