Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 8,413
- 13,732
Jamaa mjanja analeta mzigo kwa ajili ya watz wa hali ya chini.We acha tu zile nguo huwezi vaa raia wakakuelewa labda vunjabei mwenyewe...yale ni matambara
Jamaa mjanja analeta mzigo kwa ajili ya watz wa hali ya chini.We acha tu zile nguo huwezi vaa raia wakakuelewa labda vunjabei mwenyewe...yale ni matambara
kweli au masikhara yakheWe acha tu zile nguo huwezi vaa raia wakakuelewa labda vunjabei mwenyewe...yale ni matambara
Narudia tena kusema hata raia wa chini hawezi vaa zile nguo...bora uende karume usagule sagule waweza patamoJamaa mjanja analeta mzigo kwa ajili ya watz wa hali ya chini.
Seriously...nenda kacheki mwenyewekweli au masikhara yakhe
Siku moja nilikutana na dada alifanya shopping ya milioni 4 Woolworths Mlimani City.
Mnataka OG kwa gharama ndogo?
Yeye ana watu wake anaowauzia,mkitaka nguo OG nendeni kwenye maduka makubwa yenye gharama.
angekuwa na pesa anayopiga jamaa mwenye sandaland sijui kama tukikunywa majiNguo zake ukivaa mpya ukivua rangi ya nguo inabaki kwenye ngozi.
Kadeti finishing kama za fundi maiko nyuzi zinaning'inia.
Billionaire wa Instagram anashea chupa ya Hennessy na machawa 😊
Wakinga hawajaanza wizi na dhulma tu. Wakianza lazima tuwawashie motoWe ndo una akili sasa hii vita mmetupiga sana wachaga sasa wakinga watawakoma kisa wametoboa
Labda alihojiwa tu na Pod ya Salama.Mkuu naomba unieleweshe kwamba vunja bei ana podcast?
"...Jeans haifuliwi, wala jeans nyeusi haipigwi kiwi.."Jeans zake zinachuja balaaa
Na ndo target yake hyo..siku ukielewa biashara utamsalute...mbona Mo anauza energy drink ya jero..unahis ali target wauza sura..yeye katarget waendesha boda na watu wengne wa chinSiku moja nilitaka nikamuunge mkono nikaenda kwenye moja ya duka lake aisee zile nguo hasa suluali sio za kuvaa mwanaume mwenye heshima zake au kunithamini. Zinawafaa wanyoa viduku tuu.
"...Jeans haifuliwi, wala jeans nyeusi haipigwi kiwi.."
UVC- T-shirt na Jeans.
wanadai wenyewe mvinyo wa bei
😄😄😄😄 mkuu mie nakunywaga tu juice
Wako Dodoma sehemu ganiHili nakataa, nguo zake nyingi hazina ubora hasa jeans yaan kuna nguo nilinunua pale Dodoma Vunja bei baada ya miezi 2 mifuko ilichanika,
Wakati kuna nguo niliwahi kununua zaidi ya miaka 6 mpaka kesho zipo,
Mimi hua napenda kumuunga mkono maana ni Mtz mwenzetu ila kwenye ubora hapana