Fred Mtaalamu!!!!

FUSO

JF-Expert Member
Nov 19, 2010
31,635
37,844
John alimwalika rafiki yake Fred nyumbani kwake kwa ajili ya dinner na vinywaji. Baada yamaakuli na wakati vinywaji vinaendelea John, mkewe John (Lisa) na mgeni wao Fred walikuwa wanacheza karata. Kwa bahati mbaya karata ikaangukia chini yameza, Fred alipoinama kuichukua akaona nyeti za Lisa ambae hakuwa amevaa kufuli aka chupi.Fred akahamanika kwa aibu, japo John hakugundua.

Baadae kidogo John alipokwenda jikoni kuchukua vinywaji, Lisa akamuuliza Fred:"Umekipenda ulichokiona?"
Fred: "Ndiyo".
Lisa: Utakipata kwa laki moja njoo, ila iwe ijumaa mchana maana John huenda sitevisits kwa wateja wake kila ijumaa.

Ijumaa ikafika, Fred akaja kwa John na laki na mchezo ukachezwa. John aliporudijioni akamuuliza mkewe: "Fred alikuja?"

Lisa akawaza:'Inawezekana alimuona akija au kaambiwa', akajibu: "Ndiyo,alipita hapa mara moja". John: "Safi, alikuachia laki moja?"

Lisa akawaza:'Huyu atakuwa anajua'. Akamjibu mumewe kwa upole: "Ndiyo, kaileta".
John:"Fred ni mwaminifu sana, alikuja asubuhi ofisini akanikopa laki moja na akasema atapita nyumbani akuachie mchana".

''Kazi Kwenu''
 
Communication katika mapenzi ni kitu muhimu sana...Kama John angewasiliana na mke wake mapema kuhusu hizo hela. Fred asingemega bure bure!

na huyo lisa nae hajatulia.. Anapanga na bei kabisa?!
Lex mgeni usicheze nae karata na mkeo sawa?
 
Mmm mbona mzigo umeliwa kijinga hivyo kwa akili yangu hii inamanisha Lisa katoa bure laki si imelipa deni.KWELI LAKI SIO HELA.
 
Lisa akawaza:'Inawezekana alimuona akija au kaambiwa', akajibu: "Ndiyo,alipita hapa mara moja". John: "Safi, alikuachia laki moja?"
Lisa akawaza:'Huyu atakuwa anajua'. Akamjibu mumewe kwa upole: "Ndiyo, kaileta".
John:"Fred ni mwaminifu sana, alikuja asubuhi ofisini akanikopa laki moja na akasema atapita nyumbani akuachie mchana".

''Kazi Kwenu''

waswahili hunena ya kuwa mwosha naye huoshwa...........
 
Communication katika mapenzi ni kitu muhimu sana...Kama John angewasiliana na mke wake mapema kuhusu hizo hela. Fred asingemega bure bure!
khaaa yaani rafiki yako akikukopa laki tu unampigia simu wife? je akiomba milioni au zaidi si utaita ukoo wako na wake?
mambo mengine unaact kiume tu mkuu
laki si pesa nasikia
 
anaogopa isije ikazungushwa kwa wife teh teh teh
 
Communication katika mapenzi ni kitu muhimu sana...Kama John angewasiliana na mke wake mapema kuhusu hizo hela. Fred asingemega bure bure!
Yes, matatizo mengi kwenye mahusiano yanatokana na communication breakdown.
 
John alimwalika rafiki yake Fred nyumbani kwake kwa ajili ya dinner na vinywaji. Baada yamaakuli na wakati vinywaji vinaendelea John, mkewe John (Lisa) na mgeni wao Fred walikuwa wanacheza karata. Kwa bahati mbaya karata ikaangukia chini yameza, Fred alipoinama kuichukua akaona nyeti za Lisa ambae hakuwa amevaa kufuli aka chupi.Fred akahamanika kwa aibu, japo John hakugundua.

Baadae kidogo John alipokwenda jikoni kuchukua vinywaji, Lisa akamuuliza Fred:"Umekipenda ulichokiona?"
Fred: "Ndiyo".
Lisa: Utakipata kwa laki moja njoo, ila iwe ijumaa mchana maana John huenda sitevisits kwa wateja wake kila ijumaa.

Ijumaa ikafika, Fred akaja kwa John na laki na mchezo ukachezwa. John aliporudijioni akamuuliza mkewe: "Fred alikuja?"

Lisa akawaza:'Inawezekana alimuona akija au kaambiwa', akajibu: "Ndiyo,alipita hapa mara moja". John: "Safi, alikuachia laki moja?"

Lisa akawaza:'Huyu atakuwa anajua'. Akamjibu mumewe kwa upole: "Ndiyo, kaileta".
John:"Fred ni mwaminifu sana, alikuja asubuhi ofisini akanikopa laki moja na akasema atapita nyumbani akuachie mchana".

''Kazi Kwenu''

akiaanani wanawake wakome c kuizi ndo staili mpya nini wachunguzeni wake zenu asipo vaa kufuli umuulize kwanza kwanini
 
mnaonaje kama mke wake John atavunja ukimywa na kumweleza mume wake namna Fred asivyo mwaminifu?
 
Hahaha kakopwa uroda hahah katoa bure bila kupenda chezea fredy wwe

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom