You are not among of the great thinkernote
HAPANAMzee 1960s email zilikuwepo?...
Huyu jamaa kapiga pesa sana kwa kushiriki kutengeneza cheque ambazo hazifojiki eakati kaajiriwa na FBI na wamekua marafiki na Agent alie mkamata kifupi jamaa alikua mtaalamuHivi kwa ujumla alikua na Fani ngapi za kughushi..?
Hapa tungempiga risasi eti lijambazi lilikuwa likijibishana risasi na mapolisi. Shame!Jamaa kumbe ndiyo mana FBI wakamchukuwa kwa mana alikuwa anafaa kuwa spy
We akili hunaNimeisoma yote very interesting
Kwa nini mkuuWe akili huna
Alifanya yote haya shaur ya papuch mjinga sana frank
Kwa style ya Frank si alibaki kisindano kweli? Wataalam wa friction mtusaidie.Frank mademu, sema ukimwi ulikuwa hamna kipindi hicho
Au yeye afanye tukio halisi.Wewe acha roho ya korosho ndio maana wabongo ni wavivu wa kusoma vitabu eti unauliza story imekopiwa wapi?
Kama unaona story imekopiwa basi kopi na wewe tuone