Frank W.A: Mhalifu tapeli mwenye akili aliyesumbua dunia na mwishowe kuja kuajiriwa na FBI

Get My like Man...though naona ngono ndo ilikuwa inampelekesha sana huyu Jamaa...
Asiende TAIPEI naona kwa new legal bill atafanywa kuwa Punga mzee..(Joke)
Kudos
 
Mkuu uliitendea haki stori yako, maana yaliyomo yamo (mademu wakareee)!
Ingekosa hayo makitu, ingelipoteza ladha.
 
Umesema ana mke aliyeishi nae kwa zaidi ya miaka 25 sasa hapo tusaidiane huyo mke alikuwa anazunguka nae sehemu zote na je alikuwa anajua usanii wa mumewe?
 
Post imeenda shule hii heko kwako. Hongera kwa hili, umenikumbusha jamaa mmoja yupo Kyela huko ni tapeli sana anajifanya mganga wa kienyeji, mara utapeli wa hela bandia anaitwaga Abeli au mr Maloo(Marlaw) sema shule kichwani hana hata kusoma changamoto sms kuandika shida ila ndio kala sana hela za watu. Juzi kati naambiwa wwmempiga mtu Dar 100 million na wenzie saizi anaishi kama digidigi hapa pale kesho kule
 
91 Reactions
Reply
Back
Top Bottom