Uchaguzi 2020 Frank Mwakajoka arejesha fomu ya kuomba uteuzi wa kugombea Ubunge jimbo la Tunduma

Hayo ndiyo maneno tunapenda sisi wana mageuzi
Julai 2020
Tunduma, Tanzania

Live toka Ofisi ya Jimbo Tunduma Songwe

MWAKAJOKA Arudisha Fomu Avunja Rekodi ktk kuhakikisha miradi inatekelezwa "CCM, Hiki ni Kipingo cha Pili
WanaTunduma na chama cha CHADEMA wana uhakika kuibuka na ushindi wa kiti cha Ubunge na kata zote 15 Tunduma kwenda CHADEMA 2020

Source : Jay Tv
 
16 Julai 2020
Tunduma,Tanzania

KATIKA KURA ZA MAONI MWAKAJOKA AOGOZA KWA KURA NYINGI NI DALILI YA USHINDI

Kura halali zilizopigwa ni 175 na zilizoharibika hakuna. Matokeo ni kama ifuatavyo kamanda Fadhili kura 1, kamanda Simbeye 8, aliyekuwa diwani kamanda Herode Jivava amepata kura 67 na aliyekuwa mbunge kamanda Frank Mwakajoka amepata kura 99.

Frank Mwakajoka baada ya kuongoza ktk matokeo ya kura za maoni amesema sasa makamanda wote tuliopata jumla ya kura 175 tujiunge pamoja na wanaTunduma kuikabili CCM Mpya ktk uchaguzi wa Oktoba 2020
Source : DSS Tunduma
 
Mungu ibariki Chadema
 
Jingalao,

Julai 2020
Tunduma, Tanzania

MWAKAJOKA Atikisa Tunduma
"Mkutano wa kuwashukuru Wananchi "CHADEMA Tutashinda Uchaguzi Majimbo Yote 2020 .

Mfano Chipaka tenki la maji na matenki mengine yatasambaza huduma ya maji safi kwa wote.

Elimu mji wa Tunduma imezidi kuboreshwa

Mbunge wenu mimi Mwakajoka nimetambuliwa ktk hansard ya bunge kama mchangiaji bora aliyeshika namba 7 ktk bunge la Muungano wa Tanzania kuwatetea wakulima, wafugaji, wavuvi na watumishi wa umma siyo Tunduma tu bali pia kuwatetea waTanzania wote. Kiasi Spika Job Ndugai akawa anaomba nipunguze mbinyo kuibana serikali lakini mimi kama Mwakajoka nilikuwa sielewi wala kuchoka kulibana bunge la Ndugai na serikali ya CCM Mpya.

Michezo ni afya na ajira mfano Mwakajoka Cup imesaidia kutoa burudani na kutoa vijana 3 waliochaguliwa kwenda under 17 timu ya taifa ya Tanzania ya soka.

Mfuko wa jimbo Tshs. 95 milioni kila kata imenufaika kufuatana na mahitaji ya kila sehemu.

Vituo vya Afya pia vimeboreshwa kutoa huduma kwa Mama na Mtoto pia vijana na kina baba.
Source : JAY TV
 
jingalao karibu sana
 
2020

CHADEMA YAACHA KILIO KWA CCM MPYA

Pamoja na mbinu za siasa chafu za CCM MPYA.....

Source : CHADEMA MEDIA TV
 
Habari toka Maktaba:

11 February 2019
Momba, Songwe
Tanzania

CCM: Hatumtaki Mbunge Silinde Mlango Umefungwa Nafasi Zimejaa

2019 CCM yamkana Mbunge David Silinde, baada ya kudai kupata taarifa kuwa anataka Kurudi CCM. CCM wilaya ya Momba mkoani Songwe ilidai "Hatumtaki Mlango Umefungwa Nafasi Zimejaa". Hayo yalisemwa Twaha Maulid Al Masoud Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Momba mkoani Songwe aliapa hawamuhitaji David Silinde kutokana na aliouita usaliti wa kura za wizi za David Silinde

Source : Jay TV

CCM Mpya haiishiwi na vioja, ona sasa 2020
 
15 Julai 2020
Tunduma , Tanzania

"SASA HIVI NIMEAMIA CCM, NAGOMBEA UBUNGE TUNDUMA" - DAVID SILINDE ACHUKUA FOMU YA KUGOMBEA UBUNGE

Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Momba mkoani Songwe mwaka 2019 Ndugu Twaha Maulid Al Masoud aliapa CCM hawawezi kumchukua David Silinde.

Kweli 2020 David Ernest Silinde baada ya kukataliwa na wanaCCM Mpya wa wilaya ya Momba mwaka 2019 kuwa nafasi zimejaa ameamua kuchukua fomu mwaka 2020 kugombea ubunge Tunduma kupitia CCM Mpya

Source : Global TV online
 
17 May 2020
Songwe, Tanzania

CHADEMA MKOA SONGWE: Watoa Tamko Zito "SILINDE ni Mzingo si Chochote amelewa sifa"

Akizungumza na Waandishi wa Habari Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Songwe kamanda Isakwisa Thobias Lupembe mapema hivi leo aliwaeleza juu ya hali kisiasa jimboni Momba mkoa wa Songwe.

CHADEMA ni taasisi kubwa zaidi ya mwananchama au kiongozi hivyo chama kipo vizuri na wakiamini chama kitakwenda kushinda majimbo 6 ndani ya mkoa wa Songwe.

Source : Jay TV
 
Back
Top Bottom