Denis Alphonce
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 672
- 922
The heading should have been written Who WAS The Best as both of them are dead.. Asking who is the best is as if they are still with us...u can as Between Diamond and Kiba who is the best as wapo bado na wanaendelea na Music but with Franco & Madilu I think you used a wrong tenceKwa wale wapenzi wamziki napendeni tushirikishane nani ni bora na katika nyimbo zipi kati ya wanamziki hawa wawili
Sent using Jamii Forums mobile app
Ushamba huu jf hadi lini kutumia lugha ya taifa kama mwanzisha mada unaona shida gani?The heading should have been written Who WAS The Best as both of them are dead.. Asking who is the best is as if they are still with us...u can as Between Diamond and Kiba who is the best as wapo bado na wanaendelea na Music but with Franco & Madilu I think you used a wrong tence
Ushamba huu jf hadi lini kutumia lugha ya taifa kama mwanzisha mada unaona shida gani?
Hicho kichwa cha habari cha mada hii kiko kwenye lugha gani?... Kilichoandikwa kwa hiyo lugha yakukera sana kinatokana na maana inayopatikana kwa lugha hiyo aliyotumia kuweka kichwa cha habari..Ushamba huu jf hadi lini kutumia lugha ya taifa kama mwanzisha mada unaona shida gani?
Ungekuwa mfuatiliaji wa muziki usingeuliza swali hili, mjenzi na mpakarangi nani zaidi! Madilu hakuwa mpiga solo, Franco alikuwa.
Sina hakika sana kama wanapaswa kufananishwa, sbb franco ndie mwalimu wa madilu. Sbb huwa wanafananishwa watu wa kizazi kimoja. Sema moja ya sifa ya madilu ni sauti iliyotulia hadi kufananishwa na music system. Waliokuwepo enzi zao wanamajibu zaidi.
Taborian .... kama sikosei ni wa Tabora. Vipi Band yetu ya Tabora Jazz au Nyanyembe kuna mpango wa kuzifufua siku moja kwa nyie vijana?
Au ndiyo tumebaki na ZILIPENDWA?
Kwa wale wapenzi wamziki napendeni tushirikishane nani ni bora na katika nyimbo zipi kati ya wanamziki hawa wawiliSent using Jamii Forums mobile app