LEGE JF-Expert Member Joined Oct 14, 2011 Posts 5,122 Reaction score 9,222 Aug 30, 2013 #21 zubedayo_mchuzi said: Vp idadi ya watu hapo Click to expand... wapo wapo kiaina sio wengi kivileee?
LEGE JF-Expert Member Joined Oct 14, 2011 Posts 5,122 Reaction score 9,222 Aug 30, 2013 #22 ndetichia said: aja pigwa tu maugo? Click to expand... bado bado mkuu now ndio wanazipiga
zubedayo_mchuzi JF-Expert Member Joined Sep 2, 2011 Posts 4,873 Reaction score 1,220 Aug 30, 2013 Thread starter #23 LEGE said: bado bado mkuu now ndio wanazipiga Click to expand... Wameanza za utangulizi
C CBNJR Member Joined Aug 11, 2013 Posts 95 Reaction score 22 Aug 30, 2013 #24 muendlee kutupa taarifa jamani,cheka mwanetu huyo
A ACCOUNT FULL JF-Expert Member Joined Sep 24, 2012 Posts 1,995 Reaction score 389 Aug 30, 2013 #25 zubedayo_mchuzi said: Wameanza za utangulizi Click to expand... Waheshimiwa sana wapo ukumbini?
A ACCOUNT FULL JF-Expert Member Joined Sep 24, 2012 Posts 1,995 Reaction score 389 Aug 30, 2013 #26 Makoye Matale said: Habari Mkuu, tuko pamoja. Click to expand... salama mkuu, tumuombee ndugu yetu ashinde leo.
Makoye Matale said: Habari Mkuu, tuko pamoja. Click to expand... salama mkuu, tumuombee ndugu yetu ashinde leo.
ITEGAMATWI JF-Expert Member Joined Jan 26, 2012 Posts 5,362 Reaction score 4,125 Aug 30, 2013 #27 Kila la kheri Francis Cheka. Watanzania tupo nyuma yako.
Leak Platinum Member Joined Feb 22, 2012 Posts 52,939 Reaction score 43,569 Aug 30, 2013 #28 yani hadi sasa hakuna aliyepigwa ngumi?
LEGE JF-Expert Member Joined Oct 14, 2011 Posts 5,122 Reaction score 9,222 Aug 30, 2013 #29 zubedayo_mchuzi said: Wameanza za utangulizi Click to expand... zautangulizi tayale mkuu kuna matokeo hapo juu hembu pitia utaona .now ni mashali na mahugo/
zubedayo_mchuzi said: Wameanza za utangulizi Click to expand... zautangulizi tayale mkuu kuna matokeo hapo juu hembu pitia utaona .now ni mashali na mahugo/
LEGE JF-Expert Member Joined Oct 14, 2011 Posts 5,122 Reaction score 9,222 Aug 30, 2013 #30 now ni round ya 4 kati ya mahugo na mashali .but mashali ana enda vizuri sana.score yake iko powa
CHAI CHUNGU JF-Expert Member Joined Feb 20, 2012 Posts 7,113 Reaction score 943 Aug 30, 2013 #31 Apigwe tu!
A ACCOUNT FULL JF-Expert Member Joined Sep 24, 2012 Posts 1,995 Reaction score 389 Aug 30, 2013 #32 LEGE said: now ni round ya 4 kati ya mahugo na mashali .but mashali ana enda vizuri sana.score yake iko powa Click to expand... Mwitikio wa wadau vp?
LEGE said: now ni round ya 4 kati ya mahugo na mashali .but mashali ana enda vizuri sana.score yake iko powa Click to expand... Mwitikio wa wadau vp?
CHAI CHUNGU JF-Expert Member Joined Feb 20, 2012 Posts 7,113 Reaction score 943 Aug 30, 2013 #33 Natabiri Cheka kupigwa mapema tu,maana alionyesha woga tangu juzi!
MTAZAMO Platinum Member Joined Feb 8, 2011 Posts 19,990 Reaction score 34,838 Aug 30, 2013 #34 LEGE woooote humu tunakutegemea wewe kwa updates!!! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
LEGE JF-Expert Member Joined Oct 14, 2011 Posts 5,122 Reaction score 9,222 Aug 30, 2013 #35 MTAZAMO said: LEGE woooote humu tunakutegemea wewe kwa updates!!! Click to expand... pamoja sana mkuu
MTAZAMO said: LEGE woooote humu tunakutegemea wewe kwa updates!!! Click to expand... pamoja sana mkuu
M Mwekahazinagao Member Joined Jul 15, 2013 Posts 35 Reaction score 1 Aug 30, 2013 #36 Cheka kashaingia?
LEGE JF-Expert Member Joined Oct 14, 2011 Posts 5,122 Reaction score 9,222 Aug 30, 2013 #37 ​mashali kashinda kwa point now mwendo mdondo kwa cheka.sala zenu tuu kwa mwakilishi wetu wa tz
​mashali kashinda kwa point now mwendo mdondo kwa cheka.sala zenu tuu kwa mwakilishi wetu wa tz
T The Gentleman Pirate JF-Expert Member Joined Dec 11, 2012 Posts 1,476 Reaction score 949 Aug 30, 2013 #38 Vipi mahudhurio ya watu,,ukumbi umejaa au magumashi tu??
Leak Platinum Member Joined Feb 22, 2012 Posts 52,939 Reaction score 43,569 Aug 30, 2013 #39 mada amesha chapwa
CHAI CHUNGU JF-Expert Member Joined Feb 20, 2012 Posts 7,113 Reaction score 943 Aug 31, 2013 #40 updates????