Francais/Deutsch/Spagnola/Italiano

??????????

quote_icon.png
Originally Posted by Preta
huna hamu ya kujua kimatumbi, kihehe na kingoni......kama ndio niko tayari kukufundisha..........bureeeeeeeee

Du! hizi haziuzi!!!
 
Originally Posted by MAMMAMIA
Bahati mbaya nimeona ujumbe huu leo, lakini ninaweza kutoa mchango wangu kidogo.
Kwa wale wanaohitaji kujifunza Kispanish au ESPAÑOL, mimi ninaweza na niko tayari kuwasaidia, kupitia mtandao.
Kwa kuanzia, fungua kiunganishi hiki ambamo unaweza kujifunza ile ya msingi kabisa:

Learn Spanish - Spanish Online - SpaniCity

Kwa msaada wa ziada wasiliana nami kwa:
farsiy@yahoo.co.uk
au: +34 608089395
skype: farsiy

Kila la heri.

Thanks Mammamia, hii link ni nzuri sana, inafundisha hata matamshi ya spanish, kama una ya french au mtu yeyote mwenye link ya francais inayoweza kufundisha kama hii nitafurahi kuipata coz matamshi ndio msingi wa lugha yeyote.
 
Optimistic soul

Haina ubaya hata kimbulu ni sawa kwani nayo ni lugha ya mawasiliano

Ich freue mich wenn kann man Deutschsprecher/innen finden

Vivo in Tanzania, Dar es Salaam

In Tanzania, it is a bit difficult to learn these international languages hasa inapokuja kwaenye oral pratice. Walau Kifaransa na kijerumani mtu anaweza kwenda kwenye vituo vyao vya utamaduni hapa Dar.

Ila nawasihi wadau tusaidine kwa link na hata lecture kwa malipo ya makubalino hasa kwa spanish na german
 
Kijeruma mbona wapo kibao?? Nenda Arusha kwenye kampuni za kitalii vijana wanaongea lugha ya kejurami saana.
 
Keine Sorge, Deutschsprachige findet man in vielen Teilen Tansanias. Wenn man nur wüßte, wo man nachsehen sollte!
In Arusha bei Leopard Tours &Safari gibt es ganz viel Junge Männer die sehr gut Deutsch sprechen können und waren selber noch nie in Deutschland. Versuch es mal sie in der Nähe von Arusha sind.
 
Leonard und kipala

Achso, in Arusha gibt es so viele Deutschspracher.
Vielen danke fuer die Gute Nachrichten aber jetz bin ich in Dar.

Ich bin noch schlecht in Deutsch besonders die Gramatik

danke sehr
 
Du! sasa naona mapambano ya lugha yamekua makali, uzuri wa hizi lugha bana,hata ukikosea grammar hamna mtu atakushtukia coz wengi hatuzijui hahahaaaa
 
Leonard und kipala
Achso, in Arusha gibt es so viele Deutschspracher.
Vielen danke fuer die Gute Nachrichten aber jetz bin ich in Dar.
Ich bin noch schlecht in Deutsch besonders die Gramatik
danke sehr
Alles klar! Dann übe bitte mal:

Fischers Fritz fischt frische Fische,
Frische Fische fischt Fischers Fritz!
 
Originally Posted by MAMMAMIA
Bahati mbaya nimeona ujumbe huu leo, lakini ninaweza kutoa mchango wangu kidogo.
Kwa wale wanaohitaji kujifunza Kispanish au ESPAÑOL, mimi ninaweza na niko tayari kuwasaidia, kupitia mtandao.
Kwa kuanzia, fungua kiunganishi hiki ambamo unaweza kujifunza ile ya msingi kabisa:

Learn Spanish - Spanish Online - SpaniCity

Kwa msaada wa ziada wasiliana nami kwa:
farsiy@yahoo.co.uk
au: +34 608089395
skype: farsiy

Kila la heri.

Thanks Mammamia, hii link ni nzuri sana, inafundisha hata matamshi ya spanish, kama una ya french au mtu yeyote mwenye link ya francais inayoweza kufundisha kama hii nitafurahi kuipata coz matamshi ndio msingi wa lugha yeyote.
Ziko link nyingi tu! Tafuta kwenye webs French Online utaziona. Kwa haraka haraka nimeona hii yenye lessons 8. Ijaribu: Learn French - Bonjour, Online Free French Lessons to Learn French
 
i dont know portuguese but some few words like greetings,,teach me pliz i like it

can I really learn n speak arabic?i love it too

Língua árabe é um pouco difícil, pois ele usa seus próprios alfabetos, para isso você precisa conhecer o alfabeto, então você vai começar a aprender a linguagem em si! tudo de bom
 
Back
Top Bottom