Miss Pirate
JF-Expert Member
- Oct 27, 2010
- 305
- 74
Bahati mbaya nimeona ujumbe huu leo, lakini ninaweza kutoa mchango wangu kidogo.
Kwa wale wanaohitaji kujifunza Kispanish au ESPAÑOL, mimi ninaweza na niko tayari kuwasaidia, kupitia mtandao.
Kwa kuanzia, fungua kiunganishi hiki ambamo unaweza kujifunza ile ya msingi kabisa:
Learn Spanish - Spanish Online - SpaniCity
Kwa msaada wa ziada wasiliana nami kwa:
farsiy@yahoo.co.uk
au: +34 608089395
skype: farsiy
Kila la heri.
Gracias mamamia. nitaanza karibuni nakipenda sana
aste manyana