Ninatafuta wadau wa lugha hizo hapo juu ili kufanya mazoezi ya lugha hizi maana hapa bongo ni nadra sana kukutana na waongeaji wa lugha hizi ingawa wapo.
Bangusilo
Danke gut, wie geht es Ihnen?
Minda
Porque non capisci? Voglio imparare la lingua Italiana con uno/una amico/amica
Njowepo
Le Francais ne pas dificile,d,ou vient tu?
Kifaransa ni rahisi. Upo mkoa gani kwa sasa ili kama kuna uwezekano nikupe maelekezo labda yatakusaidia.
Tunogeshe libeneke hili la lugha wadau wa lugh tafadhali.
Asanteni nyote
Merci beaucoup a tous
Mucho gracias
Tante grazie i tutti
Alle,vielen danke
Thanx to u all
Bahati mbaya nimeona ujumbe huu leo, lakini ninaweza kutoa mchango wangu kidogo.
Kwa wale wanaohitaji kujifunza Kispanish au ESPAÑOL, mimi ninaweza na niko tayari kuwasaidia, kupitia mtandao.
Kwa kuanzia, fungua kiunganishi hiki ambamo unaweza kujifunza ile ya msingi kabisa:
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.