Fourth Round

Nassy Muller

Member
Sep 30, 2016
85
20
4def3852931657ef41d706c02c030afa.jpg

Wakuu apa cjaelewa nivoandikiwa ivii inamaana Natakiwa kujaza tenaa....kana kwamba 4th round nimekosa tena au lah....
 
Apo umepata mkuuu we ingia cas/TCU .home kuna sehem kwa chini wameandika provisionally selection we ingia apo uingize taarifa yyte ambayo ni index ya 4 or 6 utaambiwa kozi hadi chuo ulicho pata asante!!!
 
Hapo bado hujapata but umepew fursa ya kubadilisha program na kuweka ambazo una sifa ya kuzisoma......either ulizoziweka hukua na sifa ya kuzisoma.. .ingia in ur profile ubadili selection
 
Dah kama nikwel nashkuru mungu
 
Hapo bado hujapata but umepew fursa ya kubadilisha program na kuweka ambazo una sifa ya kuzisoma......either ulizoziweka hukua na sifa ya kuzisoma.. .ingia in ur profile ubadili selection
Mhhhh tenaaa....mbona nikitaka kubadili naambiwa system closed
 
Na ambaye haonekan kwenye selection searching results yeye vipi sasa
 
Back
Top Bottom