Nyundo Kavu
Senior Member
- Dec 6, 2011
- 186
- 85
Wadau, je kuna haja/ulazima wa kuweka "fourth official" katika mpira ilihali atashindwa kutambua goli limeingia au la na yeye yuko karibu kabisa na goli? imenisikitisha sana kuona UKRAINE wameaga mashindano kwa style ya uonevu. Endapo wangepata draw wange-qualify kucheza quarters...! Mwamuz wa nne anakula mshahara bure tu... Goal technology should be established!!!!!!!