Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 269,633
- 697,754
Ulioandikwa HANDLE WITH GREAT CAREUpi ndio uchawi mkali zaidi ya zote?
Nimeipenda signature yakoOK Mshana Jr katika ubora wako
"Never stop learning because life never stop teaching"
Pamoja kk
Mtani utakua ulitumia fire witch kumnenea yule jamaa akapotea kwa uso wa dunia. Napita tu
Duuh "Kumbe wa Majini wa kawaida tuuh"
Ila mkuu nawaheshima sana wachawi wa kibongo kwa ubunifu. Wakati wachawi wa kizungu wakipaa kwa kutumia ufagio na kutokuwa comforyable wetu wanatumia nyungo ambapo unakaa vizuri na ukiwa nao mkubwa unaweza hata kulala.
tatizo ajaliIla mkuu nawaheshima sana wachawi wa kibongo kwa ubunifu. Wakati wachawi wa kizungu wakipaa kwa kutumia ufagio na kutokuwa comforyable wetu wanatumia nyungo ambapo unakaa vizuri na ukiwa nao mkubwa unaweza hata kulala.
Broo uko deep!