.....msaada pls
Ungeweka maelezo ya ziada ili watu wafahamu Four leaf clover ni nini kwa hiyo lugha unayoifahamu wewe, sio kwa kiswahili.
Tukijua kuwa ni mmea, dawa, kipuri cha mashine, au ni aina ya mafuta , viungo vya chakula, aina ya pariki?
Hapo utapata msaada unaouhitaji.
Mkuu, umehamasika kwa kusikia kuwa hayo majani ukiyaona yanaleta bahati nini, maana ndivyo uko uraiyani wanavyo amini... Ukimpata mtu kutoa Ireland, haswa Mu-Irish muulizie kwa jina la "Shamrock Plant au little clover"Habari Wadau...
Hiyo kitu inaitwaje kwa Kiswahili, na hapa Dar naweza kuipata wapi? Nina itafuta sana nimeagizwa, msaada wenu pls!
Mkuu, umehamasika kwa kusikia kuwa hayo majani ukiyaona yanaleta bahati nini, maana ndivyo uko uraiyani wanavyo amini... Ukimpata mtu kutoa Ireland, haswa Mu-Irish muulizie kwa jina la "Shamrock Plant au little clover"
Good lucky.
Four-leaf clover - Wikipedia, the free encyclopedia
Nenda idara ya misitu, watakupatia au kwa wauza maua, kwa wenye vitalu vya maua.
nenda na picha kama hujui jina kwa kiswahili au sema mmea wa bahati, mmea wa kubariki, wa kuleta bahati.
Nani amekuagiza mmea huu? Anataka kushinda bahati nasibu?