Nafundisha kusoma, kuandika na kuhesabu kwa watu wazima

Kijana matata

JF-Expert Member
Jul 21, 2017
601
303
Habari wakuu,

Kichwa cha habari chajieleza, nina darasa kwa ajili ya kujifunza kusoma, kuandika na kuhesabu Kiswahili na Kiingereza kwa watu wazima. Unaweza kuja darasani Yombo Dovya, Temeke, Dar es Salaam au namfata mwanafunzi popote alipo ndani na nje ya Dar es Salaam.

Karibuni kwa ajili ya ndugu, jamaa au rafiki yako.

Simu: 0716162196/0785907371
 
Sasa jamaa yangu, humu mbona kama vile unatafuta papai juu ya mpera!?

Umeshindwa kuwafikia huko uliko!?

Wanaojua kusoma na kuandika tu...wengi hawaijui hata Jf ni mdudu Gani!!!....
Sembuse hao raia wako unaowatafuta humu!?
 
Humu wote wamefika chuo kikuu wengi wao wana mandinga makali humu fukara anaonekana mwalimu huyo n mtu mwenye mshahara wake humu ndo kapuku ss ww unataka mtu wa ivo utampataje ss
 
Idea nzuri kuna PC kali za kienyeji vijijini huko wife materials ukimpata hakusoma km hana aibu anafundishwa..safi
 
Sasa jamaa yangu, humu mbona kama vile unatafuta papai juu ya mpera!?

Umeshindwa kuwafikia huko uliko!?

Wanaojua kusoma na kuandika tu...wengi hawaijui hata Jf ni mdudu Gani!!!....
Sembuse hao raia wako unaowatafuta humu!?
Nafikiri ndugu yangu hujasoma vizuri tangazo, soma tena ili uelewe mkuu, usikaze kichwa ndugu yangu, soma tena mkuu.
 
Humu wote wamefika chuo kikuu wengi wao wana mandinga makali humu fukara anaonekana mwalimu huyo n mtu mwenye mshahara wake humu ndo kapuku ss ww unataka mtu wa ivo utampataje ss
Kama wewe ndiye uliyefika chuo kikuu basi ni msiba mzito sana kwa taifa, mwanachuo kikuu huwezi hata kupembua mambo na kusoma kwa uwelewa kwa tangazo dogo kama hili, unapaswa kurudi tena chuo ukajifunze mambo, bado wewe ni mweupe mnoo. Soma tena andiko langu hilo la juu hadi mwisho, usikaze ubongo wewe msomi wa chuo kikuu
 
Back
Top Bottom