Four Leaf Clover inaitwaje kwa Kiswahili

GAMBLER

JF-Expert Member
Nov 22, 2009
303
11
Habari Wadau...
Hiyo kitu inaitwaje kwa Kiswahili, na hapa Dar naweza kuipata wapi? Nina itafuta sana nimeagizwa, msaada wenu pls!
 
.....msaada pls

Ungeweka maelezo ya ziada ili watu wafahamu Four leaf clover ni nini kwa hiyo lugha unayoifahamu wewe, sio kwa kiswahili.

Tukijua kuwa ni mmea, dawa, kipuri cha mashine, au ni aina ya mafuta , viungo vya chakula, aina ya pariki?

Hapo utapata msaada unaouhitaji.
 
ni aina ya majani
 
Utayapata Kwa wauza dawa za miti shamba, dawa za kienyeji. Pengine ukiwaonesha picha wamasai wanaouza "madawa" watakupatia chap chap!
 
Habari Wadau...
Hiyo kitu inaitwaje kwa Kiswahili, na hapa Dar naweza kuipata wapi? Nina itafuta sana nimeagizwa, msaada wenu pls!
Mkuu, umehamasika kwa kusikia kuwa hayo majani ukiyaona yanaleta bahati nini, maana ndivyo uko uraiyani wanavyo amini... Ukimpata mtu kutoa Ireland, haswa Mu-Irish muulizie kwa jina la "Shamrock Plant au little clover"

Good lucky.
 
.........thanx
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom