Forojo Ganze (Master), mchawi maarufu aliyeanzisha Mwenge wa Uhuru

mkuu hawakuja nao ingekuwa wamekuja nao usinguwepo hata huko sumb'nga
 
Khaaaa
 
Nilijua jina Israeli limetoka kwa Israeli mwenyewe, kama sikosei ni mjukuu au mtoto wa Ibrahim
 
Ww umeshachafuliwa tayari na huo mwenge wako,mbona hujiulizi kwann aliwasha mwenge badala ya mshumaa,nitafute nikupe historia na picha halisi za huyo Ganze,usishangilie kitu usichokijua chanzo chake
ACHA UNAFIKI kama unazo hizo picha weka humu maana wewe NDO umeleta Mada
 
Ww umeshachafuliwa tayari na huo mwenge wako,mbona hujiulizi kwann aliwasha mwenge badala ya mshumaa,nitafute nikupe historia na picha halisi za huyo Ganze,usishangilie kitu usichokijua chanzo chake
Utafutwe kwa lipi usiloweza kuliandika hapa. Sasa umefuta nini hapa???
 
Dah ndo maana huwa tunasema,
" Nilipitiwa na shetani" kwani inaonekana shetani yupo karibu sana (Bagamoyo).......

Dah! hadithi nyingine huwa haziishi haraka kama Isidingo...



Dunia Uwanja wa Fujo
 
Imenibidi nirudi huku mkuu kupata historia ya mwenge na Forojo Ganze
 
Mh kaka huu mwenge pamoja kwamba umekuja na historia ndeefu naona mwwnge ni kama ibada ya kale sana ya kuabudu moto ambayo ilikua katika. Jamii nying duniani kote we angalia sio tu Tanzania tuna mwenge at a america na nchi nying sana mwenge upo kama sio ulikuwepo nbdo wanautukuza na kuweka nembo zake sipingani na historia yako ila n kma kipind flani nilipopitia uzi mmoj uliokja unazungumzia historia ya kifo cha mzee karume kila mtu alikuja na riwaya yake ambayo aliipamba na wahusika wwnye majina mazuri na waliowahi kuwepo katika huu ulimwengu.
lakin kifo chake kimebaki kuwa ni grave secret
Katika hili lako mm sibishi ila naamn hii ibad ya huu moto mwenge ilikuwapo kitambo mwalim Wangu wa madrasa alinifundisha waarabu wa kale waliokuwa wakiitwa wamajusi waliabudu moto pia kama saaa watanzania tuanavyolazimishwa kuabudu moto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…