Forojo Ganze (Master), mchawi maarufu aliyeanzisha Mwenge wa Uhuru

Kuoza meno tu wakati wewe umeoza akili 😂😂😂 dini inasoma maandishi kutoka mbele kurudi nyuma unategemea nini hapo? Washirikina wote hao wana majina ya kiislamu kwa maana ni wavaa kobaaz
Kila mwezi wa 12 mnaenda kuabudu mizimu mna akili kweli na kunywa mapombe kama sio utahira ni nn?

Enzi za uhuru hao ndugu zako hawakuwepo ndo unatafuta jina la ukoo wenu halipo wamekuja juzijuzi😂😂

Ndo maana mpaka leo mnavaa mamitumba na manguo makubwa kuwaenzi wanaume zenu wa ulaya na hata kuolewa kabisa haswa nyie watoto wakiume.
 
Sasa mkuu mbona unani attack 😅😅😅 unadhani Nyerere alikuwa sawa kuwauliza hao wazee wa Dini yenu ya Mwinyaaz kuhusu khabari za kuendesha nchi?! Niambiye hapa duniani kwa sasa ni sehemu zipi zenye machafuko na usalama mdogo kama siyo sehemu wanamoishi wavaa kobaaz!? Ukienda Nigeria, Somalia, baadhi ya nchi za Kiarabu ni matatizo matupu kwa sababu ya hii dini yenu ya Mwinyaaz. Sasa kitendo cha Nyerere kuwapa kupaumbele hao wazee wavaa kobaaz angalia sasa taifa letu ni kama lipo gizani miaka 60+ ya uhuru bado tuko pale pale kama taifa kwa sababu tumezindikwa uko bagamoyo na lindi kwa sababu ya kuwaamini wavaa kobaaz..maana ni tofauti iliyo ndogo sana kati ya Dini yenu na mapepo.
 
1673198776662.jpg
 
Leo nataka nirudie kwa umakiiini hii thread maana siku nasoma nahisi nilivuta bangi leo nataka nirudie nikiwa plain kabisa
 
Leo nataka nirudie kwa umakiiini hii thread maana siku nasoma nahisi nilivuta bangi leo nataka nirudie nikiwa plain kabisa
Ukishavuta bangi you can never be plain,you remain affected for life.Huu ndio ukweli mchungu.Pole sana kama ulishawahi vuta.
 
Huyu Forojo Ganze, alikuwa ni mmoja kati ya wazee waliotumwa kufanya zindiko la nchi baada ya uhuru kule bagamoyo,walipewa kazi ya kuhakikisha rais aliye madarakani hapingwi na mtu yeyote(Mwl.Nyerere),zindiko hilo lilifanyika bagamoyo ktk moja ya mashimo yanayopatikana wilayani hapo,zoezi hilo lilienda sambamba na kumuuliza shetani na malaika zake ni jambo gani lifanyike ili Tanzania iendelee.

Forojo Ganze ndiye mtu pekee aliyeingia ktk hilo shimo kwaajili ya kuuliza,alikaa huko kwa muda wa siku 10 huku akiwa amewaacha wenzake nje wakimgoja atakuja na jibu gani ili wakampatie rais na wazee wa Dar es salaam,kilichoshangaza siku ya kumi na moja alitoka akiwa hoi hajiwezi akiwa kama mtu aliyepigwa na alikuwa anaongea lugha isiyofahamika,wenzake wakiwa wanaongozwa na Yahaya Hussien walimbeba hadi ikulu Dar es salaam na walipomfikisha mbele ya mwalimu Nyerere alitamka maneno hayo yanayohusu mwenge kwa kiswahili kisha akanyoosha juu mkono wake wa kulia ambao tayari ulikuwa umeandikwa namba hii 115,kisha akakata roho,baada ya mazishi mwalimu aliyafanyia kazi maneno ya Forojo Ganze akaanzisha mwenge wa uhuru bila kujua ulikuwa na maana gani,baada ya hapo aliwagiza yahya Hussein atafasiri maana ya ile namba 115.

Kama kawaida ya shehe Yahaya alitafasiri akamwambia kuwa namba hiyo inamaanisha "utakufa ukiwa na umri wa miaka 77 na taifa la Tanzania kwa kipindi hicho litakuwa na umri wa miaka 38,hii inamanisha ukichukua 77 umri wa mwalimu jumlisha 38 umri wa taifa utapata 115,na hii ndivyo ilivyokuwa,mwaka 1999 mwalimu alikufa akiwa na miaka 77 na taifa lilikuwa na miaka 38 ya uhuru (77+38=115) pia utamaduni wa rais kuongea na wazee wa Dar es salaam unaendelea hadi sasa na wamekuwa na maamuzi ya kitaifa na husikilizwa sana wanachokisema,mbona haijawahi kutokea rais akaongea na wazee wa bukoba jambo la kitaifa?,zindiko la bagamoyo linafanya kazi ,Safu hii ilikuwa ya watu 5 ambao ni. 1.mzee ramadhan,alizaliwa mwaka 1920,2.Ally tarazo(1929),3.Komwe wa Komwe(1918),4.Sheihe Yahya Hussein(1925),na 5.Forojo Ganze (1902)
Asante mwandishi kwenye hii Orodha ya Manabii wa wa mauza uza listi naiboresha

1. Masta Forojo Ganze
2. Primus Julius Mubanga
3. Shaibu Kalole Mtiga
4. Mfaume Goro Tumbo
5.Shekh Yahya Hussein
 
"Baba, sisi tunataka kuwasha mwenge na kuuweka juu ya mlima kilimanjaro, umulike hata nje ya mipaka yetu, ulete tumaini mahala pasipo na tumaini, faraja palipo na huzuni, tumaini pasipo na tumaini, upendo penye chuki na heshima palipo na dharau"

Baada ya kutamka hayo mbele ya Mwl.Nyerere, Ganze alikata roho na ndipo ukaanzishwa Mwenge wa Uhuru. Kinachonishangaza hapa ni kile kipengele kisemacho"UMULIKE NJE YA MIPAKA YETU". Inamaana ndani ya nchi tubaki gizani kama tulivyo sasa? Na kwann Forojo Ganze hakutangazwa kama mwanzilishi wa Mwenge?
Mzee Said atusimulie kuhusu Gwiji huyu mpambania uhuru na mganga
 
Back
Top Bottom