Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 25,450
- 46,220
Toroli inawezekana Mbowe alikataa kukupumulia kichogoniKwa bahati mbaya Mbowe umemshahau
Sent using Jamii Forums mobile app
Toroli inawezekana Mbowe alikataa kukupumulia kichogoniKwa bahati mbaya Mbowe umemshahau
Salim Ahmed Salim alianza Kuwa maarufu kwenye corridor Za UN kabla ya AnnanR.I.P mwafrika uliyeonesha dira ya kuaminiwa kwa Africa kuitawala dunia, akaja Salim A. Salim, Asha Rose Migiro, Obama. Waafrika tumeoneshwa dira na Kofi Annan
subiri ndio natafuta teksi nielekee msibaniKuna uzi wake humu tayari kama upo msibani tupe Updates.
Msiba uko wapi?subiri ndio natafuta teksi nielekee msibani
Hahaaaa. Sijui woteHahahah...just hahaha. Sio haujaorodhesha wote, sema haujui wote.
Hahaaa"Taasisi kubwa" iliyobaki kuwa kama simba mdhaifu asiye na meno.
Koffii Annan, wazungu walitumia mgongo wake kusambaza silaha Africa ni zikaua watu wengi sana. Ile Blood Diamond msambazaji wa silaha alikwa ni mtoto wa Koffii Annan ambae alikuwa ni mchanganyiko wa mzungu. Vikundi vyote vya kijeshi vilikuwa vinapata silaha kupitia mgongo wake, wazungu walitumia jina LA Koffii Annan kufanya bihashara kubwa ya silaha na kupora dhahabu na madini mengi Africa. Koffii Annan alikuwa anashutumiwa na mataifa ya Russia, China na mataifa ya kisosharisti kwamba alikuwa anafaidika na bihashara za silaha Africa. Leo anaonekana MTU poa. Huyu alikuwa zaidi ya shetani mpaka Leo maeneo mengi ya Africa imeshindikana kuzikusanya silaha zilizopo mikononi mwa wananchi ukienda DRC Congo maeneo yote ya KIVU, Bukavu, Goma na maeneo mengine ni vigumu sana. Maana bihashara ya silaha nzito za kivita zimetamalaki, watu wanamiliki silaha nzito sana kama AKA-47,SMG na mimashine mizito nenda uko Sudan, Somalia na sehemu nyingi za Africa magharibi. Na iyo yote ulikuwa mkono wa Koffii Annan na washirika wake kupitia mtoto wakeHuwezi kuwa SSecretary General wa UN eti kwa sababu wazungu wamekuamini. Big noo! Wote wanaowekwa pale ni madoli ambayo wana uhakika wa kuyacontrol kufikia malengo yao ya muda mrefu na muda mfupi. Ndio maana mtu km Salim A.Salim walimkataa walijua msimamo wa Tz achilia mbali msimamo wa Salim mwenyewe .Simaanishi Koffi hakua na uwezo.
Asante mkuu. Ni muhimu kuijua historiaSalim Ahmed Salim alianza Kuwa maarufu kwenye corridor Za UN kabla ya Annan
1982 tayari jina la Salim lilishajadiliwa mpaka hadhara ya Baraza la usalama la Umoja wa Mataifa
Ww unafikiri Koffi Annan alikuwa mtu mwema,hapana umekosea sana. mikono yake imejaa damu.Mungu ni wa ajabu sana ! Watu wema wanakufa lakini mijitu mikatili inabaki !