Former United Nations Secretary-General, Kofi Annan is dead

Former United Nations Secretary-General, Kofi Annan is dead

Rest in peace Mr. Kofi Annan
I first knew his name when I was at primary school. Africans lost another big name after the late Mandela.
 
Nimejikuta nakumbuka Maarifa ya jamii darasa la 5 miaka kadhaa iliyopita, hilo jina na la Salim A Salim hayakutoka kichwani.

R.I.P Annan
Same here...!!

Na nilikuta kukariri majina haya kwa kuwa niliyapenda sana
1.salim ahmed salim
2.koffi annan
Niliyashika huku hata sura zao nlikuwa sizijui.

Kwangu hawa wawili ndio wanadiplomasia bora sana afrika kuwahi kuwa nao.
Ameondoka annan kabaki salim ahmed salim.

Mwingine naweza muongeza kwenye list hiyo ni dr.jakaya mrisho kikwete mizega.

#diplomaticGiants

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakumbuka siku anapokea tuzo ya amni ya Nobel alisema anapokea tuzo hiyo huku moyo wake ukiwa na huzuni kwamba bado hakuna amani na dunia inapitia changamoto nyingi.

Pia kwa kulinda heshima yake aliteuliwa kuwa msuluhishi wa mgogoro wa Syria, alijitoa baada ya mpango wake kukataliwa. Alijua mtu wa kulinda heshima yake.

Boutros nae alishatangulia mbele za aki.

Pole kwa wafiwa na familia yote ya UN na ulimwengu wote kwa ujumla.
 
Same here...!!

Na nilikuta kukariri majina haya kwa kuwa niliyapenda sana
1.salim ahmed salim
2.koffi annan
Niliyashika huku hata sura zao nlikuwa sizijui.

Kwangu hawa wawili ndio wanadiplomasia bora sana afrika kuwahi kuwa nao.
Ameondoka annan kabaki salim ahmed salim.

Mwingine naweza muongeza kwenye list hiyo ni dr.jakaya mrisho kikwete mizega.

#diplomaticGiants

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa bahati mbaya Mbowe umemshahau
 
Back
Top Bottom