Kinyungu
Platinum Member
- Apr 6, 2008
- 22,475
- 45,241
Aisee mkuu msimu wa korosho tayari?Punzika kwa amani Mzee wetu Kofi Annan
Kaingia ofisini 1997. Mauwaji ya kimbari yanamgusaje? Nadhani alikuwa Butros GhalliTusisahau mauaji ya kimbali ya Rwanda ya mwaka 1994 yeye ndo alihusika kwa kiasi kikubwa na hakuwahi kuomba msamaha kwa hilo,
Kinachokusumbua ni wivu. Baba yako alifanya nn kuzuia mauaji hayo ya Kimbari?Tusisahau mauaji ya kimbali ya Rwanda ya mwaka 1994 yeye ndo alihusika kwa kiasi kikubwa na hakuwahi kuomba msamaha kwa hilo,
Jamaa hakumbuki hata historia. Nadhan hata mjini alikua hajajaKaingia ofisini 1997. Mauwaji ya kimbari yanamgusaje? Nadhani alikuwa Butros Ghalli
Sent using Jamii Forums mobile app
Soma Historia ya Mwafrika vizuri mkuu. Mwafrika wa kwanza kuonyesha Dira mpaka wazungu wakastaarabika na kutuibia maarifa alikuwa anaitwa Mansa Musa I.
Pumzika kwa Amani Tata Kofi Anan.
Ni dhahiri ya kwamba ulichelewa sana kubalehe. Pole sana..Ni lini mligeuka mazwazwa wa kuanza kutawaliwa na kuibiwa kijinga kiasi hiki licha ya kuwafundisha ustaarabu hao wengine, au umekaririshwa tu?!
si kwa jibu hilo....!!? [emoji851][emoji851][emoji851]Ni dhahiri ya kwamba ulichelewa sana kubalehe. Pole sana..
Ni dhahiri ya kwamba ulichelewa sana kubalehe. Pole sana..
Azikwe Ghana ili mumfukue?