Former United Nations Secretary-General, Kofi Annan is dead

Former United Nations Secretary-General, Kofi Annan is dead

Sisi ni Wa mwenyezi Mungu na kwake tutarejea..
 
R.I.P mwafrika uliyeonesha dira ya kuaminiwa kwa Africa kuitawala dunia, akaja Salim A. Salim, Asha Rose Migiro, Obama. Waafrika tumeoneshwa dira na Kofi Annan
Soma Historia ya Mwafrika vizuri mkuu. Mwafrika wa kwanza kuonyesha Dira mpaka wazungu wakastaarabika na kutuibia maarifa alikuwa anaitwa Mansa Musa I.
Pumzika kwa Amani Tata Kofi Anan.
 
Back
Top Bottom