Former United Nations Secretary-General, Kofi Annan is dead

Former United Nations Secretary-General, Kofi Annan is dead

All his Successor Fails to reach his Legacy he left behind....The world become the worst place than before....R.I.P Kofi Annan
 
Soma Historia ya Mwafrika vizuri mkuu. Mwafrika wa kwanza kuonyesha Dira mpaka wazungu wakastaarabika na kutuibia maarifa alikuwa anaitwa Mansa Musa I.
Pumzika kwa Amani Tata Kofi Anan.
Huo ni mtazamo wako, Mimi Kofi Annan ndio mwafrika wa kwanza kumjua kama kiongozi wa taasisi kubwa kama UN, Niangalie historia ipi tena
 
Huo ni mtazamo wako, Mimi Kofi Annan ndio mwafrika wa kwanza kumjua kama kiongozi wa taasisi kubwa kama UN, Niangalie historia ipi tena
Tatizo lenu vijana ni Ujuaji na UONGO mwingiiiii. Nenda kasome bandiko lako la kwanza uliyoainisha halafu rudi kwenye hili ulilobadili gia angani.
Pathetic!
 
tunabakiziwa hawa viongozi uchwara kila siku kujibatiza majina, kama simu za Tecno, Umelala ni Tecno l8 unaamka ni tecno l8 Plus, ukijitia mbabe Aggrey utatembea mpk visgno vigeuke kwato, naskia asaiv kaji upgrade anajiita jesus
 
Uyu alikuwa mtu wa pili kustarabika na kuaminiwa na wazungu baada ya mansa musa

Mbele yake yuma sisi

Huwezi kuwa SSecretary General wa UN eti kwa sababu wazungu wamekuamini. Big noo! Wote wanaowekwa pale ni madoli ambayo wana uhakika wa kuyacontrol kufikia malengo yao ya muda mrefu na muda mfupi. Ndio maana mtu km Salim A.Salim walimkataa walijua msimamo wa Tz achilia mbali msimamo wa Salim mwenyewe .Simaanishi Koffi hakua na uwezo.​
 
Tatizo lenu vijana ni Ujuaji na UONGO mwingiiiii. Nenda kasome bandiko lako la kwanza uliyoainisha halafu rudi kwenye hili ulilobadili gia angani.
Pathetic!
Kaa na ukweli wako mkuu. Mimi nimeongelea watu niliowakuta hai na kuwasikia wakati najitambua kama unahisi hana mchango wa kuchochea uongozi kwa watu weusi basi kaa kimya.
 
Kipimo cha umri wa mwanadamu kuishi huwa unatokana na vifo vya watu mashuhuri wenye facilities zote za afya.
 
Back
Top Bottom