Former United Nations Secretary-General, Kofi Annan is dead

Former United Nations Secretary-General, Kofi Annan is dead

RIP Kofi atakumbukwa sana Kenya kwa kuokoa taifa lilipotumbukia kwenye machafuko.
 
Salim Ahmed Salim alianza Kuwa maarufu kwenye corridor Za UN kabla ya Annan
1982 tayari jina la Salim lilishajadiliwa mpaka hadhara ya Baraza la usalama la Umoja wa Mataifa
Mkuu, SAS alikuwa maarufu lakini aliwakilisha Tanzania ya Ujamaa.

Kuwa SG wa UN, permanent members lazima wakukubali wote. Tanzania was leaning towards China na ex- USSR. SAS alipigwa veto na Marekani kwa ajili hiyo na Bush Sr., aliandika sababu zake katika kitabu chake "All the Best". Bush Sr., aliwakilisha Marekani wakati huo wa vita baridi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapi toto tundu Ban Ki Moon!? Hivi hana nafasi ya uongozi mahali kwa sasa!?
 
pumzika kwa amani K Annan.......... Umemaliza kazi yako salama
 
Aliekuwa katibu mkuu mstaafu wa umoja wa Mataifa Mh.Kofi Annan Afariki dunia leo tatehe 18 akiwa nchini Uswisi.Amefariki akiwa ametimiza miaka 80.HAKIKA MWENDO AMEUMALIZA NA AMANI AMEILINDA...pumzika kwa Amani Kofi Annan
IMG-20180818-WA0040.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu mwaka hapana dada yetu Agnes, mama yetu winnie Sauz, Sam wa Ukweli. King Majuto juuz tu yani hatujakaa sawa Kofi.
 
Back
Top Bottom