Yeah Nyerere alimgusa Tiny Rowland owner wa LONRHO; Ndio Maana walibeba MIZIGO na KUONDOKA walitaka kuishitaki Tanzania.Nyerere alijaribu kumgusa mtu anaitwa Tiny Rowlands alikuwa mmiliki wa shirika likiitwa LONRHO. Ulimshinda huo mfupa.
Usicheze na haya mashirika makubwa yanayochangia kwa kiasi kikubwa bajeti za nchi zao, utaumia, ukipenda usipende.
Uliona Symbion ilvyochukuwa mitambo ya Dowans alikuja nani kuitembelea hiyo mitambo? jiulize, ilihusu nini? halafu jiulize tena Mzee Mwanakijiji alikuwa mstari wa mbele kuiponda Dowans, ulimsikia akinyanyua sauti kwa Symbion? na mitambo ndio hiyo hiyo, jiulize kwanini? Hata upinzani hawakuitaja tena.
Cheza na mwenye mali usicheze na mali zake.
I agree with you 100 percent. This reminds me of George Liundi who was the first Registrar of Political parties. Do you know what he did after retirement? He went and contest for ubunge in CCM.
Hapo kidogo umepindisha, ingekuwa "atatumia mapungufu aliyoya-design wakati anajiandaa kustaafu TIC kwa faida yake na hao jamaa".Very strange indeed! Sasa hapo si atatumia mapungufu yote alokuwa anayaona TIC kwa faida ya hao jamaa?
Ukishangaa ya Musa utaona ya Filauni....
Hapo kidogo umepindisha, ingekuwa "atatumia mapungufu aliyoya-design wakati anajiandaa kustaafu TIC kwa faida yake na hao jamaa".
Yeah Nyerere alimgusa Tiny Rowland owner wa LONRHO; Ndio Maana walibeba MIZIGO na KUONDOKA walitaka kuishitaki Tanzania.
Hawakuwa Na Uwezo... especially kwenye Tanzania Lybrands na Mashamba ya Kahawa Arusha... na alilazimishwa kuuza PEUGEOT EA HAPO DAR Nadhani unamkumbuka Mkimbizaji Magari Mzungu wa Kitanzania Bert Shankland... alikuwa anafanya kazi hiyo Kampuni aliondoka Tanzania 1988
Alazimishwe na nani wewe, alilipwa kila kitu alichojidai kuchukuwa Nyerere, tena alisema hageuki nyuma atageuka jiwe, na Tiny alipolazimisha kwa njia zake kurudishiwa mali zake, mitaani tukawa tunajiuliza, vipi kageuka jiwe? Unabii haukutimia.
Wakuu,
I have totally failed to understand how can a public servant of his level end up being a Board Chairman of a private company. Is it that he was favouring them (Barick Gold) that is why they decided to thank him with Board Chairmanship?

Yeah hakuimiliki Tena PEUGEOT EA
Mkuu Captain22, as you've said it, (former) he is now retired, so what is a problem?Wakuu,
I have totally failed to understand how can a public servant of his level end up being a Board Chairman of a private company. Is it that he was favouring them (Barick Gold) that is why they decided to thank him with Board Chairmanship?
Peugeout haikuchukuliwa. Aliiuza kwa faida. Uliza mali za Tiny alizochukuwa Nyerere alirudisha hakurudisha? Kama alirudisha au alizilipa ni kwanini na yeye alizitaifisha? Hapo sasa.
Nyerere alijaribu kumgusa mtu anaitwa Tiny Rowlands alikuwa mmiliki wa shirika likiitwa LONRHO. Ulimshinda huo mfupa.
Usicheze na haya mashirika makubwa yanayochangia kwa kiasi kikubwa bajeti za nchi zao, utaumia, ukipenda usipende.
Uliona Symbion ilvyochukuwa mitambo ya Dowans alikuja nani kuitembelea hiyo mitambo? jiulize, ilihusu nini? halafu jiulize tena Mzee Mwanakijiji alikuwa mstari wa mbele kuiponda Dowans, ulimsikia akinyanyua sauti kwa Symbion? na mitambo ndio hiyo hiyo, jiulize kwanini? Hata upinzani hawakuitaja tena.
Cheza na mwenye mali usicheze na mali zake.
Wakuu,
I have totally failed to understand how can a public servant of his level end up being a Board Chairman of a private company. Is it that he was favouring them (Barick Gold) that is why they decided to thank him with Board Chairmanship?
wakuu,
i have totally failed to understand how can a public servant of his level end up being a board chairman of a private company. Is it that he was favouring them (barick gold) that is why they decided to thank him with board chairmanship?
Hapa ndipo tunapokosea kama taifa!