Form IV: Re-Exam reseating centres | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Form IV: Re-Exam reseating centres

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Mkeshahoi, Feb 29, 2012.

 1. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #1
  Feb 29, 2012
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Wadau..
  Nina mpendwa amemaliza form IV mwaka jana hapa dar na hakupata alama zinazotakiwa kuendelea mbele kielimu..
  Ameamua kurudia mtihani. Changamoto kuu ni kuhitaji kufahama Vituo vipi vinatoa elimu ya uhakika kwa wanaorudia mitihani hii vilivyopo DSM?.... vilevile nitashukuru kufahamu gharama na kupata contacts zao..
  Nawasilisha na ahsanteni..
   
Loading...