Form IV, VI exam dates changed | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Form IV, VI exam dates changed

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by WEMBE WENGE, Sep 30, 2012.

 1. W

  WEMBE WENGE Senior Member

  #1
  Sep 30, 2012
  Joined: Mar 6, 2011
  Messages: 127
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  28th September 2012
  Aim is to ensure teachers have ample time to mark papers  Effective next year, Form Six and Four students will sit for their national examinations in May and November respectively, instead of February and October, the government has confirmed.The move is aimed at enabling teachers to mark the examinations during June and December holidays, the National Examinations Council of Tanzania (NECTA) said, adding that it will recruit more teachers for marking the final examinations countrywide.
  Speaking in an interview with The Guardian yesterday in Dar es Salaam John Nchimbi NECTA‘s Public Relations Officer said that the council proposed reinstatement of the system to the Ministry of Education and Vocational Training.
  “The marking exercise will take place during school holidays, providing teachers with ample time to mark the exams, hence provide accurate results,” he said.
  He said the Ministry has endorsed the proposal to allow more teachers to be involved in the exam marking.
  “We have been experiencing difficulties in getting teachers for marking the papers, because by the time the students sit for the examinations, schools are still in session,” he said.
  “We hope that this system will make the marking more effective and ensure better results.”
  When contacted to give details on the issue, Education and Vocational Deputy Ministry, Philipo Mulugo confirmed that the ministry had endorsed the NECTA proposal.
  “My ministry went through the proposal to satisfy itself that it will not have any negative effects and accepted it. We found it to be a good idea and very helpful to teachers in having ample time when it comes to marking the examinations,” he underlined.
  Mulugo assured students set to sit for next year’s examinations that the new system will not affect their preparations because it has been implemented to enable teachers assigned to do their job accurately.
  The current system of holding Form Four examinations in October was adopted in 2005 while that of holding Form Six exams in February was adopted in 2006.  SOURCE: THE GUARDIAN.

  My comments:
  Niaanza na hayo maelezo yenye Red.


  1. Ni kweli kinachosemwa na huyu Mh. John Nchimbi? kama ni kweli tuelewe/tiyaamini vipi na matokeo ya mitihani ya wanafunzi kwa kipindi chote toka 2005 mpaka sasa(2012)? hayakuwa ya kweli? hayakuwa accurate? yalifanywa kama vile waislamu walivyosema kwamba baraza la mitihani linaupendeleo linachakachua/linalipua usahihishaji?
  2. Mabadilio haya yanaweza kuleta tija kweli lakini huyu Nchimbi na Waziri Mulugo wameasess impact kwa mashule na wanafunzi wenyewe?
  3. Wamefikiria Gharama wanazotaka ktuongezea wazazi na walimu?
  4. Wamefikiria Miezi tisa kwa wanafumzi wanaomaiza kidato cha nne na siku sitini kwa wanafunzi wanaomaliza kidato cha sita itakavyotumiwa na wanfunzi bada ya kabla ya mitihani yao na baada ya mitihani yao?
  5. Wadau wa elimu wameshirikishwa? maana hapa kama vile kulikuwa na proposal toka baraza la mitihani likapelekwa kwa waziri na waziri akalikubali sina hakika kama wadau walishirikishwa.
  6. Wamefikiria Gharama wanazoziongeza kwa shule za Private ambazo ada waliolipwa na program na walimu wao zilikuwa ziishie Februari 2013 and siyo vinginevyo?
  7. Kwa nini jambo hili limetengenezewa mazingira ya udharura huu, kuna nini kimejifucha ndani yake?

  Nadhani wa wanaohusika na waTZ wenzangu wanaweza kuwa na michango zaidi kuhuu hii ila mimi kama mimi sikulipokea vizuri jambo hili ingawa linaweza kuwa na malengo mazuri, hii ni kwa kuwa nina watoto wawili wanaotarajoa kufanya mitihani mwakani (2012) mmoja form IV and mwingine form VI sasa silewi hizi ghara ninazotaka kuongezewe nitazimudu vipi?

  Hivi haya masuala ya mitihani hayana utaratibu kisheria wa namana kiongozi anavyoweza kufanya mabadiliko na kama yapo wadau hawana nafasi ya kushirikishwa kisheria. ama tu mtu tuliymwajiri anaweza tu kuamua lolote akati wowote hata kama yupo Baranapata ulabu wake? this is ridiculus, Elimu ni ufunguo wa maisha kama tukiwachia watu wa design ya akina Nchimbi kuigalagaza elimu yetu juhudi zetu zote za kugharimia elimu zitakuwa bure.
  kwa maamuzi kama haya sishangai kuona kunawanafunzi wanafaulu mtihani bila kujua wala kuandika.
   
 2. a

  adolay JF-Expert Member

  #2
  Sep 30, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 7,567
  Likes Received: 3,026
  Trophy Points: 280
  Tatizo hakuna utekeleji bora na wenye tija.

  Hata mipango ikawa mizuri namnagani, bila usimamiaji ili kwa vitendo ikatekelezwa ni kazi bure.

  Serikali ya ccm ni mabingwa wa mipango makaratasi na mikakati makaratasi ambayo siku zote ni kutupumbaza watanzania.
   
 3. Dumelang

  Dumelang JF-Expert Member

  #3
  Sep 30, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 2,189
  Likes Received: 1,539
  Trophy Points: 280
  mimi nimejiuliza tu hao wa form six wakifanya mtihani June, matokeo yatatoka mwezi wa ngapi? na chuo watajiaandaa lini? na mikopo wataomba lini? na vyuo vitakuwa vinafunguliwa mwezi wa ngapi? kama ndinyo basi lazima kuwe na mabadiliko mpaka elimu ya juu na kila mchakato wa kujiunga huko!
   
 4. Root

  Root JF-Expert Member

  #4
  Sep 30, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,184
  Likes Received: 12,894
  Trophy Points: 280
  hii ndio tz bana
   
 5. M

  Mgaya D.W JF-Expert Member

  #5
  Sep 30, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 966
  Likes Received: 192
  Trophy Points: 60
  Jambo lolote linapoanzishwa humuathiri mtu wa awali kuyapokea mabadiliko,mimi si mwanafunzi na nina vijana ambao wanamaliza mwakani na kuendelea,as long as wamejifanyia assessment na kugundua udhaifu sehem fulani na kuamua kufanyia kazi nadhani tuwaunge mkono,tusijenge mwenendo wa kulaum kila badiliko hakuna mabadiliko yasiyo na athari na lazima atakuwepo wa kuumia.nadhani after implementatn tutapata muda wa kuona huo ufanisi kama kweli mabadiliko ya mihula yakuwa na tija.ni hayo tu!
   
 6. Linyakalumbi

  Linyakalumbi JF-Expert Member

  #6
  Sep 30, 2012
  Joined: Jul 28, 2011
  Messages: 259
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Kuna thread moja humu inasema Wasomi wa UDSM waishukia Chadema.Labda ndio walioshauri haya maazimio.Kweli wasomi ni wasomi tu.Ila Wasomi wa CCM ni Janga la Kitaifa na Ulimwengu.Aliyeshauri iwe inafanyika February(VI) na Septemba(IV) ni wenyewe sasa tena tunarudi kulekule, mbona hawashauri uchaguzi mkuu nao tubadilishe tarehe tuwe tunachagua raisi January ya mwaka wa mwisho?Yaani iwe January 2015?
   
 7. a

  adolay JF-Expert Member

  #7
  Sep 30, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 7,567
  Likes Received: 3,026
  Trophy Points: 280
  Hawa ni vilaza tu. Mabadiko ya kila wakati katika elimu huwachanganya walimu, wanafunzi na hata wizara.

  Washwahili husema miruzi mingi humchanganya na kumpoteza mbwa.
   
 8. t

  tusichoke JF-Expert Member

  #8
  Sep 30, 2012
  Joined: Apr 2, 2011
  Messages: 1,286
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Labda tatizo ni namna mabadiliko yanavyotekelezwa,lkn huo ni utekelezaji wa mapendekezo ya walimu kwani kuna baadhi ya shule walimu wake walikuwa hawapati likizo coz wanafundisha O'level na A'level,mfano mwezi march na september huwa ni likizo kwa A'level lkn O'level wapo ktk masomo. Pia usahihishaji wa mitihani ulikuwa unaathili A'level au O'level kwani umekuwa ukifanyika wakati ambapo moja ya makundi hayo yanapokuwa likizo wakati lingine likiwa shule.Ni mtazamo wangu tu
   
 9. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #9
  Sep 30, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,106
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Balaaa
   
 10. Job K

  Job K JF-Expert Member

  #10
  Sep 30, 2012
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 6,841
  Likes Received: 2,772
  Trophy Points: 280
  Tatizo kubwa ni pale kila waziri anapoingia na kuja na mpango wake. Vinginevyo ni proposal safi maana inarudisha utaratibu wa zamani. Fm 4 wanaenda fm 5 mwezi wa 7 na fm 6 wanaenda jkt mwaka m1 kabla hawajaenda chuo. Safi sana!
   
 11. o

  obwato JF-Expert Member

  #11
  Sep 30, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 1,189
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Ivi waalimu hawana haki ya kupumzika kama wafanyakazi wa kada zingine? Wanapolenga likizo zao zitumike kwa kusaihisha mitihani na wakimaliza tu shule zinafunguliwa watafundisha vipi? Serikali isiwafanye waalimu kama robot, kazi ya kumark inaumiza kichwa sana ni muhimu wanapomaliza wapate muda wa kuweka sawa vichwa kabla ya kuanza tena majukumu.
   
 12. Wamunzengo

  Wamunzengo JF-Expert Member

  #12
  Sep 30, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 810
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 60
  Yale yale, toa hiki weka kile, rudisha huku pachika hapa, bofya hicho achia hiki, yaani ni vululu vululu. Hili li seriakali lipo likizo. Maamuzi yanafanywa leo, kesho hayafai, keshokutwa tena yanafaa,aaaaaaaaarrrrrrrrrrrggggggggggghhhhhhh!!!!!
   
 13. M

  Mr.Busta JF-Expert Member

  #13
  Sep 30, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 672
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  vipidi vya kufanya mitihani ilibadilika ili kuruhusu f vi kujiunga chuo ili kuepusha kukaa nyumbani mwaka mzima,cjui hili wameliweka vp?
   
 14. M

  Mr.Busta JF-Expert Member

  #14
  Sep 30, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 672
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  ha! Ha! Ha! Ha! Wafanya kaz kama ma-dj.
   
 15. Nzowa Godat

  Nzowa Godat JF-Expert Member

  #15
  Sep 30, 2012
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 2,630
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Unaifahamu JKT?
   
Loading...