Form four results 2015 yatatokaje

Pure Scientific

JF-Expert Member
Nov 19, 2015
692
546
Wakuu habari
kwanza napenda kuwauliza je matokeo ya kidato cha nne mwaka 2015 yanatoka lini maana kwa mwaka jana taarifa ilikuwa inajulikana mapema ambayo ni tarehe 14 lakini kwa mwaka huu imekuwa siri sana kiasi kwamba wote tunaosubiri matokeo hayo kuwa na hofu kubwa kwa anayejua atujuze wakuu...
 
Wewe subiri matokeo suala la yatatoka lini? Lipo nje ya uwezo wako!
You did your part let them do theirs!
 
Wakuu habari
kwanza napenda kuwauliza je matokeo ya kidato cha nne mwaka 2015 yanatoka lini maana kwa mwaka jana taarifa ilikuwa inajulikana mapema ambayo ni tarehe 14 lakini kwa mwaka huu imekuwa siri sana kiasi kwamba wote tunaosubiri matokeo hayo kuwa na hofu kubwa kwa anayejua atujuze wakuu...

Presha inapanda presha inashuka! yatatoka tu ndani ya mwezi huu bila shaka na kila mtahiniwa hakika atavuna alichopanda.
 
Back
Top Bottom