Akuue au akutetee? Division vs GpaHahaaa tumbo joto full mawazo cjui ndalichako atatuua maaana duuuuu?
Kumbe nyie ndo wale mliofeli wote?hahaaa,nkikumbuka hizi presha za kusubiria matokeo...sito sahau ilikuwa mwaka 2012 mwez wa 2 tar 08,siku ya jumatano.tokeo lilitoka.

Yalikuwa tiyari ila Yanatolewa kwenye GPA kwenda kwenye Division, Tulia MNYOLEWE!!