Form five selection zinatoka lini?

sasa hiyo tar 24 june ww huoni kama ni mwezi wa saba tu huo?

Halafu endeleeni kujidanganya hivyo hivyo ,,,,,syllabus inasema chuoni masomo yanaanza july sasa ww na wapuuzi wenzako endeleeni kujidanganya
Acha ujinga kijana result slip mwaka jana zlitoka tareh 3 /6 Asa huoni mwaka huu zmewah af we ni dogo tyu kumaliza kwako 2010 ucfkilie ww ndye wa kwanza kila mtu akitaja mwaka aliograduate ww n njuka tyu.......... Tumia mbongo hiyo sio maubongo mnayatumia youporn na ujinga kama unaoandka acha kujifanya mjuvi dogo
 
haya dogo endelea kujipa moyo ,,,mwenyewe na hicho kidivision 3 yako unajiona unajuaa ,,,,bwana mdogo hiyo level wenzako tulikuwa tangu 2010 ss usibishane na kaka zako.
Usiishi kwa mazoea dogo we huoni matokeo tushazoea yanatoka wapil katkat rakin mwaka huu ya mewah acha ujinga
 
Back
Top Bottom