Form five selection zinatoka lini?

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
43,394
81,237
Lini majina yatatoka kwa shule za serikali! ? Kuna shule private zilifungua mwezi wa tatu! Kayumba tutangazie tutafute ada na mahitaji mengine mapema.
 
Ww dogo acha ubishi

Hakuna selection mwezi wa tano selection zote zinatoka mwezi wa saba na mashule yenu ya kimaskini ndio yanafunguliwa mwezi huo.
mwaka jana zilitoka mwez wa tano mwishoni af ww una post pumba zk hapa!!!!
 
zikitoka mwez wa saba unadhani wazazi watawaandaliaje watoto wao matumizi!!!? au unadhania na kule ni elimu bure!!!?
 
Ww dogo acha ubishi

Hakuna selection mwezi wa tano selection zote zinatoka mwezi wa saba na mashule yenu ya kimaskini ndio yanafunguliwa mwezi huo.
Ww ndo muongo mwaka jana zlitoka tareh 24 mwez wa cta mwaka huu ztawah kwakua hata matakeo ya mewah bhas hata post ztawahi
 
Ww ndo muongo mwaka jana zlitoka tareh 24 mwez wa cta mwaka huu ztawah kwakua hata matakeo ya mewah bhas hata post ztawahi
sasa hiyo tar 24 june ww huoni kama ni mwezi wa saba tu huo?

Halafu endeleeni kujidanganya hivyo hivyo ,,,,,syllabus inasema chuoni masomo yanaanza july sasa ww na wapuuzi wenzako endeleeni kujidanganya
 
mwaka huu lazima ziwahi sababu washatoa result slip!!! xx huyu jamaa sijui mkenya huyu!!
haya dogo endelea kujipa moyo ,,,mwenyewe na hicho kidivision 3 yako unajiona unajuaa ,,,,bwana mdogo hiyo level wenzako tulikuwa tangu 2010 ss usibishane na kaka zako.
 
haya dogo endelea kujipa moyo ,,,mwenyewe na hicho kidivision 3 yako unajiona unajuaa ,,,,bwana mdogo hiyo level wenzako tulikuwa tangu 2010 ss usibishane na kaka zako.
mkuu inaonekana ulipata div 3!!!?
 
Back
Top Bottom