Maganga Mkweli;3310200]huyu yuko vizuri anaweza akosoma diploma za aina nyingi sana
za biashara zote anaweza akapiga yaani (accounting,bba, marketing logistics ,procurement)
tourism ,hotel management, IT, HIV COUNSELLING, TEACHING(EDUCATION) , MAMBO YA CLINICAL OFFICERS NA NURSING KAMA AMEFANYA POA KWENYE BILOLOGY NA CHEMISTRY...
take 5 jembee,sasa kuna watu wanasema kwamba diploma huwezi kwenda mpaka uwe umepitia A level au certificate kwa vyuo vyote vya biashara nijulishe rafiki ni kweli?
Kwa kweli nimefarijika sana kuona kwamba wapo baadhi ya Watanzania wenye mioyo ya uzalendo na huruma ya kusaidia wengine.
Mkuu Sizinga nina mdogo wangu wa kike ambaye amepata div IV ya 26
Civics D
Hist D
Geo D
Kisw C
Engl D
Lit Eng C
Phy D
Chem D
Bio D
B/Math D
Na ndoto zake zilikuwa kusomea udaktari. Tangu amepata matokeo kila siku anajifungia ndani na kulia kwani alitazamia kupata div I, kwa sababu zonal exams alipata div II ya 19.
Je mkuu anaweza akasoma diploma ipi ili akiqualify akasomee huo Udaktari au ni lazima areset?
Tafadhali sana naombeni msaada wenu ili nimtie moyo mdogo wangu asije akanywa sumu.
CHONDE WAKUU!
Ok,sorry for ya sista, ni kweli mtu ukitegemea matokeo flani yakaja mengine huwa inakatisha tamaa sana, mi mwenyewe mdogo angu wa kike kapata same like that.
Ok kama alikuwa na plani ya kusomea udaktari we mtie moyo tu ingawa kwa kweli ningumu na itahitaji njia ndefu kidogo, Ujue msingi wa udaktari ni masomo ya Biology na Chemistry, sasa yeye ana D kwa hayo masomo, udaktari una competition sana.
Sasa mpe moyo kwa kumpa hizi option, ajitahidi kuchukua form za Nursing au College za Clinical Officers huko ajitahidi sana na akifanya vizuri kwa ngazi ya diploma then atakuwa kwenye good position ya kufanya MD/udaktari. Clinical officers kwa nchi yetu ni sawa na daktari coz anafanya kazi kwenye vituo vya afya ambavyo vinatoa huduma masaa 24, anagawa dawa kwa wagonjwa, anachoma sindano, anatoa ushauri na mambo mengine mengi.
Simshauri arudie pepa(reseat) kwani kufaulu Bios na Chem kwa Private Candidate ni ngumu sana. So hope nimeeleweka.
Kwa upande wa pili kuna mtoto wa baba yangu mdogo, yeye alikuwa private candidate na ktk masomo yake alipata Div III ya 19;
Civ - C
Hist - A
Geo - B
Kisw - D
Engl - B
Lit Eng - B
B/Math - F
Je! Mkuu huyu dogo anaweza kusoma HGE? Maana anapenda sana kusoma Economics. Kama hawezi, Je, kuna uwezekano wa yeye kusoma Comb nyingine halafu akifika university asome hiyo economics au una mshauri asome comb gani?
Hahaaaaa, safi sana!! Kapasua sana huyu dogo...kama kajaza HGE as first choice, mbaie ale bata tu atapelekwa shule nzuri sana by government, kwa ufupi huyo kafaulu sana Hist na Geography, so ondoa wasi asianze complication zozote, atasoma tu economics ingawa inahitaji hesabu kiaina, kwani wewe wasiwasi wako upo wapi hasa?

hapana kitu kama hicho ndugu yangu nijuavyo mimi sifa kubwa ya kwenda a-level yaani form six nikuwa na C TATU (3) kwenye matokeo yako ya kidato cha nne kwenye yale masomo saba ya lazima au kwenye yale ya mchepuo kama (physics ,chemistry (michepuo ya sayansi)commerce na bookingg(mchepuo wa biashara) au agriculture kwenye shule za michepuo ya kilimo) credit sizisokuwa na nguvu ni za masomo ya dini kama (bible knowledge na islamic knowledge)Taarifa ambazo tumekuwa tukizipata huku mtaani wanasema ni lazima awe na D ya hesabu ili aweze kufanya mtihani wa kidato cha VI sasa sijui kama ni kweli?
kiukweli huyu kama anataka kusoma A-LEVEL haiwezekani kwani ana credit moja tu yaani BIOLOGY =C na ili uwe na sifa za kusoma A-LEVEL ni lazima uwe na C TATU(3) ..LAZIMA areseat huyu hana ujanja ndio aende form five .. ila sasa kama wadau wengi walivyoshauri na maudhui ya thread hii ya ni kusaidia wale ambao hakufanya vizuri kwenye matokeo yao kuna njia mbadala ambazo zimetolewa na wadau hapo juuBrother mie kuna jembe langu lina PCB but imesimama ki_hivi DDC vip kuhusu huyu ana four ya 27 na result lake ni_civ D, chem D, geo D, eng F , kisw D, math F,phy D, hist D and bios C..,nifahamishe kuhusu hapo..
hapana kitu kama hicho ndugu yangu nijuavyo mimi sifa kubwa ya kwenda a-level yaani form six nikuwa na C TATU (3) kwenye matokeo yako ya kidato cha nne kwenye yale masomo saba ya lazima au kwenye yale ya mchepuo kama (physics ,chemistry (michepuo ya sayansi)commerce na bookingg(mchepuo wa biashara) au agriculture kwenye shule za michepuo ya kilimo) credit sizisokuwa na nguvu ni za masomo ya dini kama (bible knowledge na islamic knowledge)
mtu anaye soma combination kama HGE hesabu haikimbii A-LEVEL kwani anakutana na kitu inaitwa BAM yaani basic applied mathematics na ili aweze kupata course nzuri za biashara(bcom,baf,bba nk) kwenye vyuo vikuu lazima awe amefaulu hili somo au awe na D ya mathematics ya O-LEVEL(FORM 4)
UZURI WA KUFAULU HESABU(MATHS) FORM 4 utakusaidia wakati wakuchagua course nyingi wakati wakuomba vyuo maana nyingi zinataka walau uwe na D ya mathematics o-level kama mojawapo ya sifa za kupata hiyo course naamini nimejaribu kukuelewesha
angalizo:na kama unataka kupata selection ya serikali itagemea na uchaguzi wako wa combination na shule alizoomba kwa combi husika maana kuna CUT-OFF POINT kwenye kila shule kutegemea na mahitaji shule, uwezo shule husika ufaulu wa mwanafunzi kiwango cha ujumla cha ufaulu kwa mwaka husika cha nchi ..
nawasilisha
Kwa upande wa pili kuna mtoto wa baba yangu mdogo, yeye alikuwa private candidate na ktk masomo yake alipata Div III ya 19;Hivyo kwa ushauri wako mkuu ni bora dogo arudie hesabu ili aondoe hiyo F ili aweze kupata option nyingi university!
vyuo vya elimu kwa maana kuwa mwalimu au vyuo vya elimu vya juu ?jamaa anasema nia yake toka akiwa form one ni kujiunga na vyuo vya elim mbalimbali..
Ok,sorry for ya sista, ni kweli mtu ukitegemea matokeo flani yakaja mengine huwa inakatisha tamaa sana, mi mwenyewe mdogo angu wa kike kapata same like that.
Ok kama alikuwa na plani ya kusomea udaktari we mtie moyo tu ingawa kwa kweli ningumu na itahitaji njia ndefu kidogo, Ujue msingi wa udaktari ni masomo ya Biology na Chemistry, sasa yeye ana D kwa hayo masomo, udaktari una competition sana.
Sasa mpe moyo kwa kumpa hizi option, ajitahidi kuchukua form za Nursing au College za Clinical Officers huko ajitahidi sana na akifanya vizuri kwa ngazi ya diploma then atakuwa kwenye good position ya kufanya MD/udaktari. Clinical officers kwa nchi yetu ni sawa na daktari coz anafanya kazi kwenye vituo vya afya ambavyo vinatoa huduma masaa 24, anagawa dawa kwa wagonjwa, anachoma sindano, anatoa ushauri na mambo mengine mengi.
Simshauri arudie pepa(reseat) kwani kufaulu Bios na Chem kwa Private Candidate ni ngumu sana. So hope nimeeleweka.
Mkuu naomba uniorodheshee baadhi ya vyu vinavyo toa Diploma ya Clinical officers vilivyopo ktk mikoa ya Arusha na Kilimanjaro pamoja na addresses za vyuo hivyo.
TAFADHALI NAOMBA MNISAIDIE!