Kutwa mlikuwa mnashinda mitandaoni kufanya umbea na ujinga sasa angalia matokeo yalivoyakijinga kabisa,then unakuja jamii forum kuulizia ujinga wako badala ya kutafuta vyuo ukaulizia vilaza wenzio wanakosoma.Jaman na mimi naombeni ushauri
Nimehitimu kidato cha nne na kupata
Civics D
Biology C
Chemistry F
Bath F
Geography D
Kiswahili D
English D
History D
Sio hivyoKutwa mlikuwa mnashinda mitandaoni kufanya umbea na ujinga sasa angalia matokeo yalivoyakijinga kabisa,then unakuja jamii forum kuulizia ujinga wako badala ya kutafuta vyuo ukaulizia vilaza wenzio wanakosoma.
Duh taratibu mkuu wape moyoKutwa mlikuwa mnashinda mitandaoni kufanya umbea na ujinga sasa angalia matokeo yalivoyakijinga kabisa,then unakuja jamii forum kuulizia ujinga wako badala ya kutafuta vyuo ukaulizia vilaza wenzio wanakosoma.
Asante sana bravetai mambo yamekuwa mengi tu bt nikipata nafasi narudi, wengi sana nimewajibu inboxShukurani nyingi kwako Sinziga,
Comment kama hizi ndiyo zinazoonesha umuhimu wa wa uwepo wa Jamii forums na wanachama wake, wanaotoa ushauri wenye faida kubwa kwa jamii husika. Mungu azidi kukubariki zaidi na zaidi.
Dah kwa sasa mambo mengi yamebadilika hope utapata jibu zuri hapa, otherwise nenda kwenye fani za artsJaman na mimi naombeni ushauri
Nimehitimu kidato cha nne na kupata
Civics D
Biology C
Chemistry F
Bath F
Geography D
Kiswahili D
English D
History D
Et jaman nifanyeje ili na mm nipate japo kidogo
Hapa mkuu siyo..labda kwa ccp tu ualimu now mwisho ni divisio 3 ya 25 ndugu division 4 ualimu haendi mtu kwa sasa tangu mwaka juziHuyu CCP na TTC Wanamuitaji sana, lakini kutokana na kazi za upolisi au ualimu zisivyoridhisha kimazingira inabidi ujifunge mkanda ktk kumsomesha tena kwa kuanzia certificate ndio mwake kwa maana bado anadaiwa cr moja hivyo kurisiti ni mzunguko mkubwa. Elimu ya chuo ni rahisi kuliko A Level Maana shule ya A level ni noma sana.