Form 4 na wengine, angalieni hapa!

Matokeo hayo siyo mabaya,NACTE wameshafungua udahili kujiunga na vyuo mbalimbali kwa muhula wa masomo 2017/18,jaribu kuomba.Kama hujui namna ya kufanya wasiliana nami kwa :mamboleongoroto@yahoo.com nitakuelekeza namna ya kuomba
Mkuu mi matokeo yangu ni haya nishauri niende wap
Civ-D
Hist-D
Geog-D
Biol-D
Eng-D
Kisw-D
B/math-F
Chemistr-F
 
Jamani naombeni msaada nina ndugu yangu amepata 4 ya 26 nishaurini afanyaje
Eng C
Bio C
Phy D
Chem D
GeoD
Kisw D
Hist D
civic D
Math F
Halafu yeye angependa anende kusomea accounts
 
Mkuu me Nina matokeo kama ifuatavyo
English-B
Math-C
Bios-C
Geo-C
Kiswahl-C
Chem-D
Histry-D
Civ-D
Phyz-F
Je mkuu apo naweza nikaenda gvment kwa comb ya EGM au CBG
 
NAOMBENI USHAURI. KIJANA WANGU ANA DIV. TWO PTS 20 MASOMO YAKE YA SAYANSI ANA CHEMISTRY "C". BIOL. "C" PHYSICS "D" PIA ANA MATHS "C" JE ANAWEZA KUJIUNGA MAFUNZO CLINICAL OFFICER KWENYE VYUO VYA AFYA?
 
mkuu sizinga embu tolea ufafanuzi D-5 unaendaje diploma maana hii ni zaidi ya mwendokasi....
 
NAOMBENI USHAURI. KIJANA WANGU ANA DIV. TWO PTS 20 MASOMO YAKE YA SAYANSI ANA CHEMISTRY "C". BIOL. "C" PHYSICS "D" PIA ANA MATHS "C" JE ANAWEZA KUJIUNGA MAFUNZO CLINICAL OFFICER KWENYE VYUO VYA AFYA?
Kwanini asipite form five na six akasomee udaktari kabisa? Apo naona unachezea shilingi kwenye tundu la choo. He's too good to be clinical officer kibongo bongo.
 
Nina dogo kapiga IV ya 28 lakini PCB ana D flat ushauri Nursing akasomee nini?
 
Kwanini asipite form five na six akasomee udaktari kabisa? Apo naona unachezea shilingi kwenye tundu la choo. He's too good to be clinical officer kibongo bongo.
Sio tu aende Chuo, asipokaza Form 6 na hiyo II yake atajikuta anataga.
 
Umemshauri vizuri kabisa. Mi nilikuwa bingwa wa kukalili miziki ukitoka tu wote nimemeza uwe HIP HOP au Bongo Flavor nikafeli ila niliporisiti nikajitambua maana zilikuwa zinagonga ila GB kubwa inahifadh miziki. Nikaformat mizik nikaingiza nondo, nilisoma haswa si utan nkachomoa Credit 2 mwaka 2011.
 
Kwanini asipite form five na six akasomee udaktari kabisa? Apo naona unachezea shilingi kwenye tundu la choo. He's too good to be clinical officer kibongo bongo.
AHSANTE KWA USHAURI. NILITILIA MASHAKA HIYO D YA PHYSICS KUWA LABDA PCB INAWEZA ZINGUA!!
 
Sio tu aende Chuo, asipokaza Form 6 na hiyo II yake atajikuta anataga.
Yeye mwenyewe anadai anapenda C.B.G kwa kuwa physics ana mashaka nayo.Sasa nachanganyikiwa kuwa aende C.O au nifanyeje.
 



juu.

=> Ukiwa na D 5 sasa hapa wewe umeula!! Hapa unaruhusiwa kabisa kufanya Basic Diploma katika vyuo vyote wanavyotoa Duploma. Kwa mfano vyuo hivyo nilivyovitaja hapa JUU, chukua form yako kwa maringo achana na biashara ya kurisit omba kozi ya diploma, Teana kama una D ya hesabu na English ndo inakuwa rahisi zaidi kuchukuliwa.

=> Kwa wale waliosoma mahesabu kuna vyuo vingine kama DIT(Daar Institute), AIT(Arusha Inst) na Mbeya Tech Msishau kufanya maombi, na kwale waliopiga fresh Biology with minimum of D angalieni option za Nursing ni nzuri sana na katika vyuo vya MATC na COTC.

Kama kuna marekebisho yanakaribishwa na kama hoja ama daubt basi uwanja ndio huu. Most welcome!!

UPDATE:



[/QUOTE]theres a lady here amepata d ya bios na civics with C ya eng wat is she supposed to study coz atak kurisit course gan anafaa apo nd anapenda IT na enterprinuer or business na account with ustai wa jamii wat do u advise her todo

Nursing-zipo college nyingi wanatoa hii kozi, wale manesi wa mahospitalini na wahudumu, na mara nyingi hizi college zinakuwa ndani ya hospitali, nadhani mikoa mingi yenye hospitali kubwa kubwa wanatoa nursing...mfano Pale Hospitali ya Ndanda mission ipo, Nkomaindo Masasi ipo, Newala-Mtwara ipo na mikoa mingine.

MATC-Ni Medical Assistant Training College hizi zipo nyingi ingawa kwa sasa ndizo zimebalisha na kuwa COTC na mara nyingi wanachukua wanafunzi waliotoka form 6 moja kwa moja. Kwa mfano pale Kibaha(Tumbi hospital, Mtwara hospital nk)

COTC- Hii ni Clinical Officers Training College ambapo watu wa form naao wanajiunga na huwa mara nyingi ukimaliza diploma yako(3yrs kama sio 4yrs) unakuwa na direct employment frm government au sehemu nyingine.(Tumbi hospital, Mtwara hospital nk)

[/QUOTE]

[/QUOTE]
 
Chuo cha utumishi wa umma kipo wapi mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…