Form 4 na wengine, angalieni hapa!

Soma combi ambayo unahis utaihitj katk future yko na unayo ona unaiweza
 
Kijana achana na historia hapa..mim nmepiga pcb na sasa nipo mwaka wa mwisho hapa bugando nakula pesa tuu wew endelea na chai zako za kusema phy ngumu
 
We unataka kua wani?

Mi sikushauri kbs, soma tu HGK au HKL achana na sayansi enzi zetu tulidanganywa sana na hizo maneno. Ukitaka kua mtawala jiachie kwenye ngwini ukitaka kutumwa tumwa nenda kwenye masomo magumu ya sayansi

I agree to disagree with your opinion, science skills are transferable globally, it's the same medicine, scientists or pharmacology but art subjects can limit your chances.
 
Kama una lengo la kua Daktari nenda ukasoma diploma ya clinical medicine utafikia ndoto zako bila wasiwasi,kusoma Advance ni kujiongezea mzigo tu
 
labda private lakini sio vya serikali. utaenda imtu au archsbishop james kiko songea na cuhas bugando pia uwe unaufaulu wa division one nakuambia mapema. government. ni pcb tuu. mimi kaka yako niko first year nimeyaona haya.
 
Yah hata st.fransic ifakara wanachukua watu wa cbg ila uwe umefaulu vizuri.
 
Unasoma bila tatizo lolote.! Kwenye Udaktari wanaangalia sana Chemistry na Biology, mimi mdogo wangu alisoma CBG ila yupo MD mwaka 3 pale MUHAS.! na kuna jamaa yangu nilimalizaga naye Form 6 miaka hiyo alikuwa na B ya Chemistry, B ya Biology na F ya Physics lakini alichaguliwa kusoma MD pale MUHAS na sasa ni Daktari mzuri tu.! Cha muhimu uwe na ufaulu mzuri kwenye Chemistry na Biology
 
kasome comb yenye physics ukifika juu ndo utajua umuhimu wake kwan unakua na wigo mkubwa na fursa kubwa
 

Huyo wa zamani siwezi kumsemea kwa sababu sijui utaratibu ulikuaje

Lakini huyo wa MD3 mwaka wa tatu,kama kweli yupo basi aliingia kwa njia za uani

Muhimbili wanataka uwe umefaulu Chemistry,Biology na Physics au Mathematics.Hii inamaanisha ni PCB au CBM

Kama kuna CBG yuko MUHAS anasoma either MD,BPHARM au DDS basi amepitia njia zetu zile na hakua na sifa za kuingia hapo
 
unaweza kabisa..na nina reference ya watu kibao wapo bugando...ila uwe na division one na uwe na A moja katika masomo yako ya CBG
 
Bugando tu,mm naepost hii ni muhanga,nilisoma cbg nkapata 1 ya 6,2011 niliomba md muhas then pharmacy as second,nilitemwa ila kuna wadogo zang waliomba bugando wakiwa na ufaulu duni na wanatoboa,ila lazima uwe na ela ya kuongezea ktk ada bodi hawalipi yote
 
Watu wa PCB wanafeli physics sio kwa bahati mbaya bali ama kwa kiupuuza au kujikita sana kwenye Chemistry & Biology kama ambavyo watu wa PCM wanavyofanya kwa Chemistry!! Na hii inatokana sana na kujisahau.... unakuja kushituka ushaingia Form VI... mambo mengi muda mfupi kwahiyo automatically unalazimika ku-drop lile somo unaloona sio compulsory kivile!

Best technique... nenda PCB bila hofu lakini wakati upo Form V, ipendelee Physics kwenye kuisoma coz' kama level yako ya kuelewa ni ya kawaida, ukifika Form VI itafika wakati utalazimika tu kuiweka pembeni. Ukianza kuipa time ya kutosha mapema; utakuja kuiweka pembeni wakati mambo mengi umesha-cover kiasi cha kukupa angalau D ambayo ni bonge la pass kwa PCB.
 
Ukisoma Pcb unakua na uwanja mkubwa wa kufanya choice. Unaweza kuwa phamacist, nursing, MD,laboratory technologist, dentist, radiotherapist, physiotherapist and etc. Lakin CBG utakua na limited choice labda unaweza kuwa enviromentalist.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…