Form 4 na wengine, angalieni hapa!

KIKUBWA ASIKATE TAMAA KAMA VIP ARUDIE PAPER NAAMINI ATAFANYA VIZURI TUU
 
. Civics - C
History - C , Geography - D , Bible knowledge - C , Kiswahili - D , English - C , Biology - C, Mathematics - F, Commerce - C , Beekeeping - C.

Div 2 . 21
 
. Civics - C
History - C , Geography - D , Bible knowledge - C , Kiswahili - D , English - C , Biology - C, Mathematics - F, Commerce - C , Beekeeping - C.

Div 2 . 21
Inawezekana.Jipe moyo.Wasipokuchagua nenda PRIVATE.
 

EGM nayo siyo mbaya coz Economics ataikuta huko na hesabu sina shaka nae anaziweza...so kozi yoyote inayorelate hapo anaweza akafanya...anyway kila heri
, selection nadhani zitatoka mwezi wa 3 mwishoni au 4
Engl C
Hist C
B/mat F
Bios D
Geog D
Civc D
Ksw D
IV .27
Inakuaje
 
jamni naomba kujua me nimemaliza kidato cha nne mwaka huu nina bioz c chemistry d na phy d nataka soma ACO then niunganishe CO je mtu akisoma ACO then ikitaka kuunganisha kusoma CO anasoma miaka hiyo mitatu au wanapunguzia miaka
 
CIV - 'D' HIST - 'D' GEO - 'D' KISW - 'D' ENGL - 'F' PHY - 'F' CHEM - 'D' BIO - 'C' AGRI - 'F' B/MATH - 'F Naombeni ushauri anaweza kujiunga na ACO? au kwa kozi nyingne msaada wa mawazo yenu please
 
ila ada yake baba utakimbia private
 
Nina mdogo wangu amemaliza Ifunda tech,ile shule hawakusoma history wala biology dv 4 ya 29.. alama za ufaulu wake(PASS) ni chem-D,kiswahili-D,civics-D,geog-D na Engl-C,pamoja na masomo mengine ya ufundi ambayo amepata alama F. sasa je anaweza soma form 5 private kwa pass mark hii na kwa combination ipi maana naumia kichwa hapa au aende tu college?
 
Nimerudia mtihan na matokeo yangu yamekuwa c mabaya xana nikiwa nimepata C 4 na D 3 lkn kombi halijabalance history imegoma kuna D. Je naweza kujiunga na kidato cha tano shule ya private?? Msaada wenu tafadhal
weka ufaulu wa kila moja tukushauri,ila naamini una sifa za kujiunga na private sec school
 
Habari! Wana Jf hivi ni kweli wale wahitimu wa kidato cha nne mwaka huu ambao wamepata div. 3 ndo wanaenda teaching(primary)?!

Mimi nina div.2 Kwa alama hizi naweza chaguliwa serikali na comb. Ipi ya science??
Bio C
Phy D
Math C
Chem C
Geo D
Halafu mengine yote yalobaki nina "C"
 
habari za kazi wana jf
mm nilihitimu kidato cha nne 2014 na matokeo yangu ni
physics-c
bios-c
chemistry-c
math-e
english-b
je nnaweza somea kozi za afya?
matokeo ya masomo mengine ni
kiswahili-b
history-b
civics-c
geography-c
natarajia ushauri mzuri toka kwenu mungu awabariki.
 
Unasoma bila matatizo diploma

Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
 
samahanii wana jf
naomba kuuliza kozi ipi ni nzuri kati ya hizi
clinical medicine na medical lab sciences?
 



MKUU sio kweli unayosema pitia upya rejea zako.

Mtu anae resit mtihani kwanza utambue anaoption ya kuchagua idadi ya masomo anayotaka kurudia mtihani kulingana na yeye anavyoona anaweza kuyamudu pia endapo atakuwa amepata C mbili katika kikao cha kwanza zitajumuishwa nazile atazopata katika kikao cha pili.
Na katika hili atatakiwa kuattach vyeti vyote viwili wakati wa kujaza fomu ya kufanya mtihani wa ADVANCE

Mfumo huu unaendelea kutumika hasa hasa na kada ya ualimu walioanza na basic certificate "GRADE A" kwani hakuna chuo kwa sasa jinachotia mafunzo ya diploma au degree kwa kutumia cheti cha GRADE A zaidi ya OPEN UNIVERSITY

Pili sio lazima mtu anataka kufanya mtihani wa advance ni lazima awe amekaa miaka miwili darasani.Mtahiniwa asie kaa miaka miwili darasani anaruhusiwa ila atapaswa kufanyamtihani waadvance kama private candidate.

Ila utata unakuj katika CREDIT hizi za mtahiniwa mfano kapata C za KISWAHILI, ENGLISH , ISLAMIC au B/knowledge ataruhusiwa kufanya mtihani wa kidato cha SITA???




MICHANGO YENU TAFADHALI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…