Form 4 na wengine, angalieni hapa!

hv ile issue ya nafac za kozi za madini walsma mwsho wa kupokea applctn 4mz ni trhe 21,je naweza kufanya mishe zozote nkafnksha kukabdh 4ms zao?na km ltaezekana ntanzia wapi?dah plz help wakuu some 1 told me matokeo yngu yaneweza kunifavour smhw(4m4)
 
hv ile issue ya nafac za kozi za madini walsma mwsho wa kupokea applctn 4mz ni trhe 21,je naweza kufanya mishe zozote nkafnksha kukabdh 4ms zao?na km ltaezekana ntanzia wapi?dah plz help wakuu some 1 told me matokeo yngu yaneweza kunifavour smhw(4m4)

jitahid kuandika maneno kamili usifupishe sana maana mtu mwingine anaweza kuwa na habari akashindwa kukusaidia kwa kutoelewa
ni chuo gani unachoongelea ..? cha madini dodoma au..?
 
ok bro nimekuelewa and thanks kwa kunijuza.nafkiri ndio hicho cha madini dodoma.tangazo lake walilitoa kwenye gazeti la tarehe 14 unfortunately nkachelewa kupata hizo habar
 
ok bro nimekuelewa and thanks kwa kunijuza.nafkiri ndio hicho cha madini dodoma.tangazo lake walilitoa kwenye gazeti la tarehe 14 unfortunately nkachelewa kupata hizo habar
kama ni hicho tembelea website ya hii Mineral Resources Institute
mawasiliano yao ni haya
Mineral Resources Institute
P.O.Box 1696
Dodoma.
E: info@mri.ac.tz
T: +255 (26) 2300471, +255 (22) 2303159
F: +255 (26) 2300472
The Principal of MRI
M: +255 (00) 000000
E: principal@mri.ac.tz
Registrar
M: +255 (00) 000000
E: registrar@mri.ac.tz
deadline ilikuwa ni 21.09.2012 ila jaribu kuwacheki pia application form zao unaweza kuzidownload kwenye website yao
 
thanx sana mr.maganga mkweli,unastahili big up,you help alot.nshazidownload ngoja nijaribu bahati yangu.
 
Mkuu naomba unisaidie swali lifuatalo"mimi ni form 4(2012) wa shule ya secondary ifunda technical,nauhakika wa kupata div 1 baada ya kufanya mtihani wiki moja mbele,nachotaka kufahamu ni kwamba nikienda CBE college,na uwezo wa kuanza diploma?malengo yangu ni kufikia kuwa na elimu ya MBA,je path niliyochagua ni sahihi?ipi ni advantage ya kwenda college na kutokwenda advance?lakini pia nauwezo wa kufanya BBA ndani ya miaka 5 nikipitia huko?
NB:Nimeamua kwenda college ya biashara coz biashara ipo ktk damu,nataka niwe very proffesional,very exiperienced.
 
umenena vyema ndugu yangu na mdogo wangu kwanza nikutakie maandalizi mema ya mtihani wako wa kidato cha nne
uchaguzi wako wakupitia diploma ni sahihi kwa upande mmoja pia na mimi ntantoa ushauri wangu..
ukimaliza kidato cha nne ukiweza kupata atleast DIV four ya 26 (yaani D SABA)ila wewe umesema una hakika wa kupata one hili ni jambo na kuombea hivyo unaweza kuanza diploma ambayo ni miaka miwili then unaunganisha kusoma degree ila cha msingi ujitahidi uwe na principal pass walau mbili ya A,B AU C..kwenye matokeo yako .. ukimaliza diploma unaweza unganisha kusoma degree .. HII NJIA YA KWANZA
NJIA YA PILI NJIA YA A-LEVEL/ADVANCED /FORM FIVE NA SIX
YAWEZEKANA SHULE KWAKO UNAKOSOMA HAKUNA MASOMO YA BIASHARA LABDA HIYO INAWEZA IKAWA HOFU YAKO SASA NGOJA NI KWAMBIE KITU KUNA COMBINATION MBILI NZURI SANA AMBAZO ZIWAWEZA KUKUPELEKA KWENYE KOZI ZA BIASHARA HUKO VYUO COMBINATION ZENYEWE NI HIZI
HGE- HISTORY GEOGRAPHY NA ECOMICS KAMA SHULE KWENU HAKUNA HISTORY KUNA
EGM-ECONOMICS GEOGRAPHY NA BASIC MATHEMATICS KWA KUWA UNA UHAKIKA WA DIVISION WA ONE UNAWEZA KUSOMA COMB HIZI PIA UKAFIKA UNAKOTAKA UKASOMA KOZI YEYOTE YA BIASHARA UNAYOTAKA
TOFAUTI YA A-LEVEL NA DIPLOMA NIKUWA DIPLOMA NI AMBAYE ANAKUWA NA FANI HUSIKA NA UNAWEZA UKAAJIRIWA KWA CHETI CHA DIPLOMA.. HIVYO BASI CHAGUO NI LAKO
 

Jamani naombeni msaada kama kuna mtu anajua chuo cha afya labaratory au clinical kinachoweza kuwa na nafasi anisaidie,natangulizha shukrani.
 

Sa nani asiyejua acha kujipendekeza kila mtu yanayomhusu anayajua,ushatuona humu jf wote mbulula eeee,anzisha darasa kwako sio huku
 
xaxa kwa mfan mtu anapenda apge PCB au CBG af kwa bahat mbay chemia anapat D na ayo mengne anapga flesh tu vp anaweza chaguliw kwend 5 au*? Plz help me
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…