bila shaka wewe mpaka sasa unajua unachkifanya na una hela mbayaForex ni biashara ambayo kama haujui unachokifanya basi haina tofauti na betting.
Lakini pia ukiwa na tamaa, ukikosa nidhamu na utulivu, hata kama unajua unachokifanya basi unaishia kuwa kama wanao beti tu.
si ndio mpaka udanganye watu kuhusu forex walete ela alafu utumie kulipa vijanaUngekua hata una vijana 20 unawalipa pesa nzur per month kidogo ungepata akilii
Kwenye forex hakuna 'hela mbaya', atakaye kwambia hivyo anakudanganya. Ukiona faida yako kwa mwezi inazidi 5% basi wewe una vi element vya wacheza kamari. Una bet haufanyi baishara. Na mwisho wake ni majanga.bila shaka wewe mpaka sasa unajua unachkifanya na una hela mbaya
Sasa nimemtapeli nani hata kufundisha sijawahi nakomaa aloneefanya kazi halali acha utapel
fungua biznez in 5 years you will be more proud forex ata ukipewa miaka 70 hutaielewa kwa sababu hujui uhalisia wakeSasa nimemtapeli nani hata kufundisha sijawahi nakomaa alonee
forex ni kamari yenyewe kama yenyewe, however its more useless kwa sababu huelewi unaeabttle nae, mfano nkienda pale sport pesa nkasema simba anashinda ama anachukua ubingwa chances ni kubwa kufanikiwa than kusema gold will go up or downKwenye forex hakuna 'hela mbaya', atakaye kwambia hivyo anakudanganya. Ukiona faida yako kwa mwezi inazidi 5% basi wewe una vi element vya wacheza kamari. Una bet haufanyi baishara. Na mwisho wake ni majanga.
ukiweza kutengeneza ata 1% kila mwezi mfululizo kila mtu duniani anakutafuta yaani akitoka einsten unafuata weweKwenye forex hakuna 'hela mbaya', atakaye kwambia hivyo anakudanganya. Ukiona faida yako kwa mwezi inazidi 5% basi wewe una vi element vya wacheza kamari. Una bet haufanyi baishara. Na mwisho wake ni majanga.
Ndugu yangu, hata UTT ambako unaweka tu fedha zako na hauhitaji kufanya chochote unaipata hiyo 1% kwa mwezi.ukiweza kutengeneza ata 1% kila mwezi mfululizo kila mtu duniani anakutafuta yaani akitoka einsten unafuata wewe
UTT, bonds unaweza kupata 10% kwa sababu ni biashara halisi, you dont need kuwaza leo ama kesho itakua wap, hio ni LEGIT BIZNEZ ila forex sio biashara ni kamari,Ndugu yangu, hata UTT ambako unaweka tu fedha zako na hauhitaji kufanya chochote unaipata hiyo 1% kwa mwezi.
Forex ni biashara, ila ukitaka kufanya kama betting inakuruhusu na utapigwa kwelikweli.
Wew unajua betting wenzak wanajua forexunapo bet unakua unajua wachezaji na ofcourse timu zinazoshinda na kuchukua ubingwa znaeleweka, ila forex unafanya kitu ambcho hukijui na hukielewi but you want people to think unajua
Yes kuna mwamba hapa mbishii ajui kuhusu fx hafu kasoma na uchumi chuo 😁😁😁Ndugu yangu, hata UTT ambako unaweka tu fedha zako na hauhitaji kufanya chochote unaipata hiyo 1% kwa mwezi.
Forex ni biashara, ila ukitaka kufanya kama betting inakuruhusu na utapigwa kwelikweli.
Hata fx unapata 10%UTT, bonds unaweza kupata 10% kwa sababu ni biashara halisi, you dont need kuwaza leo ama kesho itakua wap, hio ni LEGIT BIZNEZ ila forex sio biashara ni kamari,
forex sio biashara ni kamari
Ukifungua ww inatosha kwani shida iko wapi unaumia sehem gani haswa.fungua biznez in 5 years you will be more proud forex ata ukipewa miaka 70 hutaielewa kwa sababu hujui uhalisia wake
akhaa sjasema lazima mie, wewe fanya unachoona kinakufaaUkifungua ww inatosha kwani shida iko wapi unaumia sehem gani haswa.
hakuna anaeweza kupata atat 1% kila mwezi ya uhakika, infact 99% end up hoe haeHata fx unapata 10%
kama haujawahi fanya kazi BOT basi hujui forexWew unajua betting wenzak wanajua forex
Sasa shida nini kwani kuna watu kwenye kupredict hiyo Gold , wanaweza vizurii sana, umepredict Gold mara 10, umeenda wrong mara saba (7) na kila ukikosa unalose constant 20$.forex ni kamari yenyewe kama yenyewe, however its more useless kwa sababu huelewi unaeabttle nae, mfano nkienda pale sport pesa nkasema simba anashinda ama anachukua ubingwa chances ni kubwa kufanikiwa than kusema gold will go up or down
Sasa wewe shida yako nini kama forex ni kamari kuna ubaya gani sieforex ni kamari yenyewe kama yenyewe, however its more useless kwa sababu huelewi unaeabttle nae, mfano nkienda pale sport pesa nkasema simba anashinda ama anachukua ubingwa chances ni kubwa kufanikiwa than kusema gold will go up or down
BOT, BOT every time BOT ya babako hiyo mpka ufikie stage za kuwaamulia wengine nini cha kufanya kwenye betting zaokama haujawahi fanya kazi BOT basi hujui forex