Forex vs Betting

Je forex ni sawa na betting?


  • Total voters
    26
  • Poll closed .
Hata betting pia nayo siku hizi unaweza kufanya yote hayo.🀣
Betting zingine ni ngumu kuwa na statistical EDGE ambayo itakupa profit kwenye mfululizo wa shughuli yenyew . kwahiyo utajikuta mwisho wa siku you end loser
 
Aviator tupu
Av
 



hilo ka kwanza:

2) YOU CAN NEVER EVER make money trading forex because its a myth only brokers created a myth to you that your trading forex but there is nothing your trading only taking money from loosers and giving it to winners, you will never have an edge on something you dont understand

3) umefanya trades let's say 50 tu .
Kati ya hizo 50 umekosa trades 30 na kila trade moja uliyokosa you get constant lose ya 10$. 10Γ—30=300.
Na katika hizo trade 50 unapata trade 20 tu na kwa kila trade ukipata unaenda ratio ya 1:3 kwa maana 10:30
Kwahiyo trade ikienda poa unapata constant profit 30$ sasa hapa inakua
20Γ—30$=600$



4) forex wasnt meant for you to make money but its a medium of exchange kwa ajili ya nchi na nchi ama nchi na mashirika ama kampuni kufanya biashara
 
Huku kwenye betting ya forex katika percentage 100% EDGE yako kama inakupa hata 30% halafu 70% unalose bado utakua profitable kama ratio yako iko sawasawa
hio EDGE ni msemo wa waalimu wa forex but you cant have an EDGE trading something you dont understand
 
Boss sisi tunabet price hatufanyi forex
 
hio EDGE ni msemo wa waalimu wa forex but you cant have an EDGE trading something you dont understand
Sio kila kitu lazima ujue mkuu na utoe matokeo ya kuwa haiwezekani umewahi kubet hizi price au unaongea tu kuna watu wana edge kwenye hii betting
 
Sio kila kitu lazima ujue mkuu na utoe matokeo ya kuwa haiwezekani umewahi kubet hizi price au unaongea tu kuna watu wana edge kwenye hii betting
ukifuatilia huu uzi uko juu utaona tumeuongea sana na nlishawaonyesha watu desk langu BOT, usipoteze mda kama unataka mafanikio kafanya kazi
 
Tofauti forex unaliwaa ka dollar na unaliwaa parefuuu sanaa ndani ya sekunde mojaaa tuuu.. ila wote ni upumbavuuu.
Rafiki yangu anaamini siku moja ataamka tajiri.
Na story zake za sir jeff,
 
Tuandikie hapa mafanikio yako
 
🀣 🀣 🀣 fanya issue zingine miaka inaenda
Ulitaka miaka isimame mkuu ili iweje kila kitu lazima kitake time. Ukiona wewe huwezi sio sheria kwa wengine kuwa hawawezi,
Kama kilikushinda unakaa pemben kimyaa kimya sio kuharss wengine utadhani ndo unajua sannaaa kumbe tikiti tu
 
ukifuatilia huu uzi uko juu utaona tumeuongea sana na nlishawaonyesha watu desk langu BOT, usipoteze mda kama unataka mafanikio kafanya kazi
Hiyo ulikuwa unafanya forex sisi tunabet Price au vipi sasa kupangia wengine kuwa kubet haiwezekani hayo mamlaka unatoa wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…