Katika pitapita kwenye mtandao wa x nimekutana na huyu mwamba anaitwa Trader mike ,kwa ufinyu ulionao unaamini hakuna anayetengeza hela, nipo napitia post zake deeply Usiku huuhakuna anaeweza kupata atat 1% kila mwezi ya uhakika, infact 99% end up hoe
namjua vizuri, aliambiwa trades zake zote awe anaziweka public kabla hajafanya mpaka leo watu hawataki kumskia 🤣 , ni vijana uchwara tu ambao hawaelewi kinachoendelea duniani ndo mnapelekwa uku na kuleKatika pitapita kwenye mtandao wa x nimekutana na huyu mwamba anaitwa Trader mike ,kwa ufinyu ulionao unaamini hakuna anayetengeza hela, nipo napitia post zake deeply Usiku huu
Nimegundua loss moja tu ambayo anapata inatosha kabisa kukulisha wewe na baba yako na ndugu zako wote miaka kumi mitano mfululizo
Halafu unakuja kubwabbwaja hapa
hakuna mtu anaweza kuniambia kitu skijui kwenye froex, najua unajiskia vibaya ila kunywa maji, meza unga endelea kuhesabu bets zako mpaka akili itakukaa sawa! BTW nchi nyingi zinazojielewa they banned it and tanzania ndo ivo mnafanya kwa kujificha, ni vile hamuambiliki acha wembe uwakateBOT, BOT every time BOT ya babako hiyo mpka ufikie stage za kuwaamulia wengine nini cha kufanya kwenye betting zao
najua unaongea kwa hisia kali ila the early the better, skulazimishi uelewe kila nachoandika na wewe sio kwa kwanza kufanya forex na hautakua wa mwisho, toka imeanza the results have been the same ila kwa kua wewe unaona una akili kuliko waliotangulia we fanya! tutaangalia kama tunazika ama tunasafirishaSasa wewe shida yako nini kama forex ni kamari kuna ubaya gani sie
tukiibeti .
Maana mpira nao ni kamari vilevile lakini wanapata na kukosa kwahiyo unataka uniambie kwenye Forex huwezi kupata hata trade moja tu.
Kwamba Forex betting yenyew ni mfululizo wa kukosa kila trade utakayoingia?
Mbona Unakuwa mshambamshamba hivo jitu la wapi ww
Tulia nipo nachat naye hapa nimpige kizinga cha million maana huhakuna anaeweza kupata atat 1% kila mwezi ya uhakika, infact 99% end up hoe hku
Sasa shida yake nini kwani au kuna ulazima wa yeye apost trade before mbona kila wiki anaposti loss anazopigwa haiwez ikapita siku mbili hajapigwa loss aliyopigwanamjua vizuri, aliambiwa trades zake zote awe anaziweka public kabla hajafanya mpaka leo watu hawataki kumskia 🤣 , ni vijana uchwara tu ambao hawaelewi kinachoendelea duniani ndo mnapelekwa uku na kule
BTW: ata mtu akikuonyesha akaunti yangu ya MT4 hii apa trades hizi apa faida hii apa, its a scam! mtu anaekwambia ukwel ni yule KABLA ya kutrade ndo anapost
umeenda wrong mara saba (7) na kila ukikosa unalose constant 20$.jumla unakua umeloose kiasi gan? na hio ratio yako bado inaanzia tena kwenye $20 ama hujui kama ukiloose mara 7 mtaji unaenda kuanzia $1 🤣 🤣 🤣Sasa shida nini kwani kuna watu kwenye kupredict hiyo Gold , wanaweza vizurii sana, umepredict Gold mara 10, umeenda wrong mara saba (7) na kila ukikosa unalose constant 20$.
Lakin katika kupata umepat mara tatu (3) na kila moja uliyopata ni ratio ya 1:5 kwahiyo unakuta 20$×7(trade)=140$ loss
20$×5(ratio)× 3trade ulizopata= 300$
Netprofit 300$(profit)-140$(loss)=160$
kwahiyo trade 10 umepata tatu na kukosa 7. Still unakua na net profit ya 160$ that's business sasa we Mashavu wapi usipoelewa unakaza ndonga tu unataka business ya 100% guarantee utasubir sana fala ww
Round hii nakwambia mtasafirisha nimepata na mentor wa bure MIKE mentor yuko halisi kabisa kwnini nikimbie gemu akikosa trade tunajua na akipata tunajua pia kwann asiwe mentor mtu kaanza kutrade 2013 hukonajua unaongea kwa hisia kali ila the early the better, skulazimishi uelewe kila nachoandika na wewe sio kwa kwanza kufanya forex na hautakua wa mwisho, toka imeanza the results have been the same ila kwa kua wewe unaona una akili kuliko waliotangulia we fanya! tutaangalia kama tunazika ama tunasafirisha
Hujaelewa rudia tena kusoma ndo maana nakwambia unakurupuka huelewiumeenda wrong mara saba (7) na kila ukikosa unalose constant 20$.jumla unakua umeloose kiasi gan? na hio ratio yako bado inaanzia tena kwenye $20 ama hujui kama ukiloose mara 7 mtaji unaenda kuanzia $1 🤣 🤣 🤣
kama nlivokwambia before: kuna aina 2 ya wajinga, kuna mtu ni mjinga ila yupo open kujifunza ila kuna mwingine yuko proud na ujinga wake ambae ndo wewe sasa, sasa mtu kama huyu hawezi kusaidika zaidi ya kumwacha akajionee mwenyewe, huyo mike mbna hatishi wapo watu wamekodisha magari, wengine wanahesabu mapesa mengi online na yote hayo tunayajua, wapo watu mpaka walikua wanaonyesha trade history zao na kila njia tunaijua ila kwa kua wewe ni IGNORANT alie proud, go ahead! atakaesoma akaona itamsadia swa asietaka njia nyeupeTulia nipo nachat naye hapa nimpige kizinga cha million maana hu
Sasa shida yake nini kwani au kuna ulazima wa yeye apost trade before mbona kila wiki anaposti loss anazopigwa haiwez ikapita siku mbili hajapigwa loss aliyopigwa
Leta ushahidi hapa kama naye ni wale wale wa kufundisha kwa hela hapo ndo nitaamini
🤣 🤣 🤣 kila la heri tajir mtarajiwaRound hii nakwambia mtasafirisha nimepata na mentor wa bure MIKE mentor yuko halisi kabisa kwnini nikimbie gemu akikosa trade tunajua na akipata tunajua pia kwann asiwe mentor mtu kaanza kutrade 2013 huko
Tulia kamsome vizurii tena yule mike utajua hela anyopoteza na anayetengeza ni ndo zako kuziptahakuna mtu anaweza kuniambia kitu skijui kwenye froex, najua unajiskia vibaya ila kunywa maji, meza unga endelea kuhesabu bets zako mpaka akili itakukaa sawa! BTW nchi nyingi zinazojielewa they banned it and tanzania ndo ivo mnafanya kwa kujificha, ni vile hamuambiliki acha wembe uwakate
Tulia kamsome vizurii tena yule mike utajua hela anyopoteza na anayetengeza ni ndo zako kuzipta
Letaa ushahidi popote pale anapouza coz ya kufundisha ili tujue hela anatoa mifukoni kwa watu sio bla blakama nlivokwambia before: kuna aina 2 ya wajinga, kuna mtu ni mjinga ila yupo open kujifunza ila kuna mwingine yuko proud na ujinga wake ambae ndo wewe sasa, sasa mtu kama huyu hawezi kusaidika zaidi ya kumwacha akajionee mwenyewe, huyo mike mbna hatishi wapo watu wamekodisha magari, wengine wanahesabu mapesa mengi online na yote hayo tunayajua, wapo watu mpaka walikua wanaonyesha trade history zao na kila njia tunaijua ila kwa kua wewe ni IGNORANT alie proud, go ahead! atakaesoma akaona itamsadia swa asietaka njia nyeupe
You will learn the hard wayHujaelewa rudia tena kusoma ndo maana nakwambia unakurupuka huelewi
Letaa ushahidi popote pale anapouza coz ya kufundisha ili tujue hela anatoa mifukoni kwa watu sio bla bla
We kuna sehem yoyote umeona MIKE anacharge hela kufundisha au kuuza robot kama wahuni wengine leta ushihid hapakama nlivokwambia before: kuna aina 2 ya wajinga, kuna mtu ni mjinga ila yupo open kujifunza ila kuna mwingine yuko proud na ujinga wake ambae ndo wewe sasa, sasa mtu kama huyu hawezi kusaidika zaidi ya kumwacha akajionee mwenyewe, huyo mike mbna hatishi wapo watu wamekodisha magari, wengine wanahesabu mapesa mengi online na yote hayo tunayajua, wapo watu mpaka walikua wanaonyesha trade history zao na kila njia tunaijua ila kwa kua wewe ni IGNORANT alie proud, go ahead! atakaesoma akaona itamsadia swa asietaka njia nyeupe
we bado mchanga sana dogo, utakuja kuelewa tu hawa mainfluencer na mabroka wana undugu gan for noe, go get your painLetaa ushahidi popote pale anapouza coz ya kufundisha ili tujue hela anatoa mifukoni kwa watu sio bla bla
Yes mi mjinga lakini ukinipa sehem ambayo huyo jamaa naye anawapiga watu hela kutoka mifukoni mwao mi nitatuliakama nlivokwambia before: kuna aina 2 ya wajinga, kuna mtu ni mjinga ila yupo open kujifunza ila kuna mwingine yuko proud na ujinga wake ambae ndo wewe sasa, sasa mtu kama huyu hawezi kusaidika zaidi ya kumwacha akajionee mwenyewe, huyo mike mbna hatishi wapo watu wamekodisha magari, wengine wanahesabu mapesa mengi online na yote hayo tunayajua, wapo watu mpaka walikua wanaonyesha trade history zao na kila njia tunaijua ila kwa kua wewe ni IGNORANT alie proud, go ahead! atakaesoma akaona itamsadia swa asietaka njia nyeupe
Kuna sehem umeshawahi kuona anampigia debe broker fulani? Screenshot hapawe bado mchanga sana dogo, utakuja kuelewa tu hawa mainfluencer na mabroka wana undugu gan for noe, go get your pain
We fala kweli nani dogowe bado mchanga sana dogo, utakuja kuelewa tu hawa mainfluencer na mabroka wana undugu gan for noe, go get your pain