ONTARIO
JF-Expert Member
- Oct 16, 2013
- 1,792
- 17,187
Salute bosses
Tangu tumeanza hii movement JamiiForums mmekua pamoja nasi muda wote. I must be very thankful for their continuous support and generosity, thanks team for the great work. Siwezi kuweka kwenye maneno mazuri sana, but you guys owe me big time, I will expect you to consider yourself in my debt
.
Kwa mafanikio makubwa sana tulianza training na mentorship ya forex hapa Tanzania wiki kadhaa zilizopita, mpaka sasa tayari zaidi ya wanafunzi 350 wamenufaika na hii movement. I am not exaggerating things, lkn kiuhalisia 95% ya wanafunzi wametengeneza pesa ndefu sana, na wataendelea kutengeneza pesa for their lifetime.
Mifano ni mingi mingi mingi sana, siwezi kupost yote hapa, lkn kiukweli people are downloading money. Mfano mzuri ni huyu mwanafunzi alianza kutrade Ijumaa iliyopita akiwa na $90 (200,000 TZS) baada ya wiki 1, hadi jana alikua na $635.90 (1,425,000 TZS) mind you hii ni ndani ya wiki 1.
Kuna mwanafunzi mwingine yeye alianza wiki 2 zilizopita. Huyu ni mwanafunzi wa Chuo cha St. Joseph, Yeye alianza na $199 (445,00p), mpaka jana ijumaa alikua ana $1437 (3,220,000 TZS). Huu ni mshahara ambao waheshimiwa wengi ambao wapo kazini zaidi ya decades kadhaa hawapati kwa mwezi
Mifano ni mingi sana, kama huyu kwa siku ya jana pekee aliingiza $808 (1.8 mil), pesa ambayo watu wengi sana TZ hawaipati ndani ya mwezi mzima.
Kwa mtaji wa 375,000 siku 1 tu ya jana kapata faida ya 116,000
Wanafunzi wengi tulioanza nao wiki ya kwanza tayari wameanza kuwithdraw profits from their trading accounts to bank accounts ili kuupgrade their living standard nk nk.
The whole idea kuhusu The Million Team ni kueneza hii elimu ya forex kwa watu wengi zaidi, Tanzania nzima. It's not breaking news that people are struggling to make money for themselves, si Dar pekee yake bali Tanzania nzima. Nilikua naumia sana kwamba ofisi zipo Dar, na asilimia 95 wanaopata training ni watu wa Dar pekee wakati TZ ina mikoa zaidi ya 30. Hii kitu ilinifanya nifikirie njia yoyote mbadala ya kuwafikia waTanzania wengi zaidi, sitajali natumia gharama kiasi gani, but as far as the impact is worth it sina tatizo kabisa.
Sasa hivi tumeamua kuzunguka mkoa mmoja baada ya mwingine, hadi mwaka unaisha nitahakikisha kila kona ya TZ imefikiwa, at all COST, even if it means I have to spend money from my own pockets. I have no any other good option.
I must be honest, wanafunzi wa Dar wanafahamu vizuri, price ambayo wanalipia kama training na mentorship fees is less than a fraction of what others charge. I just decided to share part of my life with my fellow brothers and sisters, that's all. No one will ever be broke for giving his neighbour a piece of bread.
Utaweza kuona gharama tuyayoicharge tukiwa Dar ni 130,000 and still ni gharama hiyo hiyo tutawacharge watu waliopo Tandahima, Tunduma, Kasulu nk, japo tukiwa nje ya Dar itabidi tulipe gharama ya hotel, flights, on road travel, training venue nk. The whole movement is to bring back hope Tanzanians. Muda wa kukaa kuitukana serikali, kwamba hawajakufanyia ABC, ni bora ungetumika in a productive way.
Tunaanza kuzunguka mkoa kwa mkoa, wilaya kwa wilaya. Ni ngumu lkn inawezekana sana.
Leo mimi na team yangu tutasafiri kwenda mwanza... tutaanza mwanza training tarehe 9 hadi 13 (Monday-Friday). We will work day and night kuhakikisha tumegusa waTanzania wengi iwezekanavyo tukiwa mwanza. Kisha tutarudi Dar kwa wiki 1. Baada ya hapo tutaenda Arusha, Mbeya, Dodoma, Zanzibar, Morogoro... and the list goes on and on.
Utaratibu wa kujiunga:
Kuna magroup ya wasap yataanzishwa, so tutajimobilize kwa kutumia hayo magroup na JamiiForums pia. Then after Tutadiscuss pamoja, wapi na lini tunafanya tour. Inabidi uingie group la mkoa wako ama mkoa wa jirani yako, not otherwise. Kama uko Moshi na unahisi utaweza kuhudhuria training ya Arusha, unaingia group ya Arusha, kama upo Simiyu unaweza ingia group ya mwanza. Tukiwa huko kwenye groups tutapanga kila kitu kwa pamoja in a very transparent order. Kwasasa magroup yapo kikanda!!
=========================================
The GT Salute to all hustlers.
Wenzetu wa DAR tayari wameshaanza kufaidi matunda ya hii biashara ya FOREX kwa hisani ya ONTARIO ,hakuna namna nyingine ya kupata hiyo elimu mapema zaidi ya sisi wana IRINGA kujiorganise wenyewe ili tufikishe idadi nzuri ya kumshawishi ONTARIO kuja kushusha upako wake wa kibiashara.
Uzi huu umeanzishwa maalumu kwa ajili ya wana IRINGA wote tukutane hapa na tuyajenge pamoja na tuweke utaratibu ili ONTARIO atue IRINGA.
Nataraji ushirikiano toka kwenu.
Tangu tumeanza hii movement JamiiForums mmekua pamoja nasi muda wote. I must be very thankful for their continuous support and generosity, thanks team for the great work. Siwezi kuweka kwenye maneno mazuri sana, but you guys owe me big time, I will expect you to consider yourself in my debt
.Kwa mafanikio makubwa sana tulianza training na mentorship ya forex hapa Tanzania wiki kadhaa zilizopita, mpaka sasa tayari zaidi ya wanafunzi 350 wamenufaika na hii movement. I am not exaggerating things, lkn kiuhalisia 95% ya wanafunzi wametengeneza pesa ndefu sana, na wataendelea kutengeneza pesa for their lifetime.