Kwa jinsi mirejesho ilivyokuwa hafifu inatia shaka...labda vyuma vimekaza na huko kwenye ForexVyuma vimekaza balaa.
Hakunaga kitu rahisi katika maisha.
Forex ni biashara ya Akili kubwa, sio issue ya kuunga unga, kama kuna mtu alidandia hiyo biashara lazima tu itakula kwake.
Hahahaaaah hii kauli naikumbuka kabisaaaaa...mwe!! siku hizi hawaleti ndo maana tunashangaa.Maybe kwa sasa wangekuwa wanawekeza hata kwenye SGR !!''Watu tunanunua magari na majumba kupitia forex, we unauliza maswali ya mirejeshe, we zubaa watu tunapiga pesa we umelala naona uende ukafuge kuku na mbuzi tu''. ALISIKIKA MDAU MMOJA WA FOREX AKIMJIBU JAMAA FULANI KWENYE NYUZI FULANI.
Tukutane kwa Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, jukwaa la michezo, mambo ya forex na mimi nangoja mrejesho.
Cjaelewa kidogo ilikuajeDo ile kitu achana nayo niblow account Mara 2, Invest the money you van afford to lose
Forex sio mchezo mchezo. Ukazaji wa vyuma vyake ni balaa.Kwa jinsi mirejesho ilivyokuwa hafifu inatia shaka...labda vyuma vimekaza na huko kwenye Forex
dah mm na ushiriki wangu wote wa betting forex roho ilikataa 100%
kwanza mirejesho yake ilikua sio ya kiuhalisia mtu anakuja tu "oooh nimepata mshahara wangu kwa siku 3 najuta kwann nimeajiriwa" hii nilijua tu lugha ya biashara
2.nilifatilia watoa mirejesho ndo wale wale kila comment na ndo hao hao wanao wa-attack ambao walikua wakidoubt
3. mm hua siamin kitu ambacho unashawishiwa tu kwa upande mmoja(faida) yan kila aliekua akichangia yy anapata faida tu hakuna hata mmoja aliekula loss
4. hili ndo la msingi
Hakuna tajiri duniani atakaekupa straight njia aliyoitumia yy kutajirika wao watakupa mawazo ambayo yatawasaidia wao wazidi kutajirika kwa kukunyonya ww
alibaba anashawish watu wajiajiri kwa kufanya online business(yy aendelee kupiga faida)
billgate anahamasisha dunian matumiz ya kompyuta ili yy aongeze wateja wa cd zake za window)
wengi wanaficha mf
bakheresa daily anadanganya watu alikua fundi viatu
sasa Ontario kuja humu na straight idea yake inayomtajirisha eti anataka kila mtu atajirike mm Sikuamini 100% sijajua tu hw yy amewapiga vipi wajinga wake
Najua mtakuja na mapovu karbuni nna nguo nying za kufua povu lenu litanisaidia
Mkuu hizi picha zenu ndo zinaleta maswali.Wajumbe hawaelewiiii.Afu ni kama mnazirudia rudia hivi.Anyway I know fx is real but you guys are fishy.
ni kweli hii ni biashara ya akili kubwa,watu kama mimi hii kitu kwangu imekua mteremko,mpk sasa nimesoma vitabu 8 vya forex,nimesoma articles 56,nimesikiliza youtube kibao kutoka kwa website bora zaidi duniani,nimepiga 1 week training,nimepata quality education,nimeielewa ins and out na sasa nipo kwenye mentorship na mentor bora zaidi,MR CRE na sasa nimeanza kua mtaalamu.soon nami nitakua mwalimu wa wengine.ninasoma sana.Vyuma vimekaza balaa.
Hakunaga kitu rahisi katika maisha.
Forex ni biashara ya Akili kubwa, sio issue ya kuunga unga, kama kuna mtu alidandia hiyo biashara lazima tu itakula kwake.