Forever Living!

Saimon111:

Kiri kuwa business ilikushinda, ndo yaleyale nkiosema mwanzon kuwa tunatafuta visingizio kuhalalisha kushindwa kwetu...........hii business hata mtu wakawaida kabisa mweny mtazamo chanya anaifanya coz haiangalii background, elimu, kabila au chochote, suala ni kama kwel unataka kufanikiwa, chochote unachotaka FLP itakupatia. (namfahamu dada ambae alikuwa fundi cherehan wa kawaida kabisa, leo anaingiza 10-12m kwa mwezi)

Suala la magari na mambo mengine duh hebu uliza hata hapo dodoma (watafute Mr and Mrs Ester Mello waliokuwa lecturers UDOM) wakuambie achievements zao, c hao tu hapo wapo na wengine, ila kuku-prove wrong watafute hao.

Na co magar tu kk, watu wana majumba (na FLP hawatoi magar acha kudanganya watu, wanatoa extra money USD 400 - USD 800 kama car incentive kwa miez 36 mfululizo, ila hawakulazimish ununulie ununue gar japo inaitwa Car incentive)

Suala la FLP kulipa kodi soma moja ya comment zang hapo juu utaona mchanganuo mzm wa miaka mitano iliopita (2008 - 2012), kukusaidia tu serikal ishapata zaid ya 9.7 Billion kama kodi toka FLP, huamin nenda TRA mkoa wa temeke.

Kama ulifika manager halafu ukaacha shame on you brother, hukua na malengo uliingia kufuata mkumbo (get rich quick). Huku kaz lazma ifanyike mkuu, kifupi ulikosa mtu sahihi wa kukuongoza.

Ww ndo mzigo kk na sio business, watoto wadogo kabisa wasio hata na elimu wanafanya vzr, this business is all about positive attitude na right mind set
 
Ngoja na mi nikajiunge...
 
Point no.2 nimeipenda Sana..!
 

Maelezo marefu, sayansi yake fupi, tupe data wanaofanya biashara hiyo ni wangapi, na waliofanikiwa kiasi hicho ni wangapi na wangapi wamefeli???? Tupe graph 📈 hapa
 
Point no.2 nimeipenda Sana..!

Well said, kodi serikalini siyo kipimo kazuri cha kampuni, tujiulize how many people get their little money, time, energy etc lost or immersed in this fraud busness?? I am convinced the net loss is on most people who get involved in the business or the entire country as whole!
 
Hakuna kitu hapo mi mke wangu yuko huko alinishawishi nikaenda amerika kwa hayo mambo ya flp... ila ni upuuzi mtupu ni matapeli...ushetani mtupu fanyeni kazi kwa haki tamaa mbaya
 
Mwasyoke, huyu mtu bora hata angetupatia financial audited report ya ukwasi wa watu hawa. Kusema tu watu wanapesa bila uthibitisho wowote wa kiamahesabu hata mimi ndinasyo.
 
Hakuna kitu hapo mi mke wangu yuko huko alinishawishi nikaenda amerika kwa hayo mambo ya flp... ila ni upuuzi mtupu ni matapeli...ushetani mtupu fanyeni kazi kwa haki tamaa mbaya

fafanuaa mkuu
 
Hakuna kitu hapo mi mke wangu yuko huko alinishawishi nikaenda amerika kwa hayo mambo ya flp... ila ni upuuzi mtupu ni matapeli...ushetani mtupu fanyeni kazi kwa haki tamaa mbaya
Aisee.., sasa hiyo safari walikugharamia au..??!
 
Watu wanazidi kuliwa laki saba zao alafu ndio wanakuja Julia humu, kwanini hamkuomba ushauri kabla?!
 
Sisemi haya kwa akili za kushikiwa but that is what it clearly is..!!
Wee piga debe weee ila watu waliojiunga na kutumia rubbish zenu wana haya ya kusema.., Mnawachukualije forever living products?

MY Brother; kwa kweli juhudi,nguvu na maarifa yanayotakiwa kuwa invested ili mtu afanikiwe kimaisha kupitia FLP scheme. akiamua atumie hata robo yake kulima vitunguu au.ufuta tu,atakuwa millioneer ndani ya muda mfupi kuliko huo full set ya juhudi kuweka kwenye FLP.
inanipa wakati mgumu sana namna vijana wanavyotumia nguvu zao, maarifa yao kwenye advanced machinga kuliko kwenye uwekezaji wa maana na mafanikio makubwa kwa mda mfupi.
ok imagine ukiinvest hizo 750.000 kwrnye ufugaji wa kuku kwa kutumia nguvu na maarifa kama ya FLP...
 

kwa hiyo.unakubali kwamba umillionea hautokani na juhudi yako ya kuuza bidhaa balijuhudi ya kurekruti wengine itakulipa ?
ina maana katika ile 750000 anayolipa rekruti mpya kwenye chain yako unakuwa na mgao ?
mbona ni.wazi hiyo ni pyramid scheme hata kama inalipa kwa wachache na majonzi kwa wengi..
 
Last edited by a moderator:

supu ya kabeji wiki mbili tu inamaliza kitambi.
wizi mtupu
 
Hahahahahahahah mkuu umeniacha hoi eti supu ya kabeji duuh mbona noma hahahaha

hutaki mkuu. KABEJI INA CALORIES CHACHE SANA. GI IKO CHINI SANA....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…