ford escape | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ford escape

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Nyamtala Kyono, Jul 15, 2011.

 1. Nyamtala Kyono

  Nyamtala Kyono Senior Member

  #1
  Jul 15, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 163
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  rafiki yangu anataka kununua ford escape xlt,2002. Wakuu nisaidieni data zake hasa utumiaji wa mafuta, spares n.k
  nawakilisha
   
 2. Mlango wa gunia

  Mlango wa gunia Senior Member

  #2
  Jul 15, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 123
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  kwa haraka haraka tu ni kuwa spare ni ishu sababu kuna wakati nilikuwa natafuta spare za Ford escape kama hiyo kwa dealear wa Dar sikupata,hali kadhalika Nairobi pia sikupata,ilibidi niagize toka US,naaimini ajiandae kwa hilo pia.
  Pia kwa mtazamo wangu gari za US ni nzuri na ni cheap kwa bei kulinganisha na Japanese ila tatizo ni uimara wake kwa mazingira ya kwetu.
   
 3. Nyamtala Kyono

  Nyamtala Kyono Senior Member

  #3
  Jul 18, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 163
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Thanks mkuu,nadhani maelezo yako yamenipa mwanga....hz gari za u.s huwa zina shape nzuri sana na zinavutia
   
 4. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #4
  Jul 18, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,323
  Likes Received: 22,159
  Trophy Points: 280
  jaribisha za sauzi afika ni nzuri na zimetengenezwa kwa ajili ya mazingira ya africa.
   
Loading...